Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,736
- 14,632
tumeichoka CDM,issue ya katiba ndo ilonifanya nikate tamaa na hawa wafanyabiashara wa siasa wa CDM,kwenda ikulu wakahongwa na kurudi bungeni kupitisha madudu yale waloyapinga mwanzo???? nini hii?? afadhali CCK ije arusha
Think loud antie!umetoka lini jela?unakumbuka jina la hii nchi?hebu tuambie kipi walichopinga na wakakipitisha?haya nenda na usiongee uharo tena!!