Recent content by baaroti njotto

  1. baaroti njotto

    Nimalizieni ubishi kuhusu mpira wa kurushwa

    Mpira wa kurushwa ukiingia golini bila kuguswa ni Goli maana kurusha kwa mikoni nitofauti na mpira wa kuucheza kwa mkono ambayo ni faul so ni moja ya mchezo
  2. baaroti njotto

    Futuhi mmechemsha kwa hili

    Ccm ni wala rushwa tu wale hawana lolote kabisa yaana mwaka huu wametoka Futuhi nilikua wapenzi wao lakini sasa majitoaa tu maana hakuna namna nyingine acheni Uccm mmekwisha wezi watupu
  3. baaroti njotto

    Msaada wa kitaalamu wa Kilimo cha Karoti

    Inategemeana na ukanda ulipo wewe kama ni baridi au joto na pia kama unasubiri tu mvua au kuna maji mda wote kwanza uko wapi kama vip ni PM nikuelekeze
  4. baaroti njotto

    Nini maana ya Masalio halisi na masalio yaliyopo? Ukiangalia salio CRDB

    Unaweza kudroo salio liliopo tu na salio halisi inaonesha kiwango chote cha fedha hata ile ya kulinda uccount ila huwezi kutoa yote lazma ibaki ya kulinda
  5. baaroti njotto

    Kauli ya UVCCM Bagamoyo kuwa rais hatatoka kaskazini vipi kwa Lowassa, Migiro na Sumaye?

    Vi Inchi vidogo vidogo vyenye watu 22 milioni mnakua na ukabila hamna hata haya
  6. baaroti njotto

    Je, ni sahihi kumpa sadaka mtu asiye na ulemavu ama kasoro yoyote?

    Uusikilize moyo wako unataka kufanya nn ila somo hili ni kubwa na nipana sana maana kuna sadaka za aina mbalimbali mf: Fungu la kumi, Nathiri,Shukurani nk. So it need more explanation
  7. baaroti njotto

    Tatizo la mtu kuongea peke yake: Fahamu visababishi na namna ya kutatua shida hii

    Ngosha ze Dong, Ni kweli kabisa hapo umenizungumza mimi nilivyo
  8. baaroti njotto

    Ni chakula gani ulikuwa hukipendi ulipokuwa mtoto?

    Mimi nilikua sinyonyi kabisa yaani sitaki kunyonya maziwa ya mama
  9. baaroti njotto

    Jambazi wanaonewa sana

    We ni kichwa sana
  10. baaroti njotto

    Mdomo mbaya

    Duuology
  11. baaroti njotto

    Tuchangamshe akili wakuu

    Break, breek
Back
Top Bottom