baaroti njotto
Member
- May 27, 2015
- 17
- 2
kuna moto E tatu kaka
-moto e ya kwanza ya zamani
-moto e ya 2015 yenye snapdragon 200
-moto e ya 2015 yenye snapdragon 401
hio yenye snapdragon 401 ndio nzuri zaidi na huawei y550 pia ina snapdragon 401.
kwanini hii moto e ya 2015 ndio best budget smartphone kwa sasa
- ina 4g lte hivyo utaenjoy tigo na smart 4g hapa tz
-snapdragon 401 ipo fast kuliko hata phantom z na almost mediatek chip zote kwenye single thread (kasoro helio 10), na gpu yake ni adreno 306 nayo sio mbaya
-inakaa sana na chrage, hii ni score yake gsmarena
![]()
hivyo una uhakika atleast masaa 6 ya kipower user
-camera yake ya 5mp ni nzuri kuliko 5mp nyingi. icheki hapa
Motorola Moto E (2nd Gen) review: E for Evolved - page 7 - GSMArena.com
-front camera ipo kwenye moto e mpya, ya zamani ilikuwa haina
-pia internal memory ni 8gb atleast utaweza eka vitu vingi compare na 4gb.
-motorola android yake ni kama stock android haukuti built in apps nyingi hivyo simu zao zinakuwa fast compare na oem kama samsung au tecno ambao wanakujazia appsd kibao zisizofutika hadi uroot simu.
kuhusu removable battery hii moto e haitoki lakini haimaanishi haibadilishiki unaweza ibadilisha sema hadi ufungue simu
![]()
ukichunguza hio picha utaona battery inaonekana lakini huwezi itoa hadi utoe cover zima la nyuma la simu sababu imezibwa
Moto e 401 sh ngapi?