Nina mil 5, nahitaji gari ya maana CC chini ya 1500

Nina mil 5, nahitaji gari ya maana CC chini ya 1500

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,845
Reaction score
2,249
Habarini wadau.
Nina mil 5 nahitaji gari ya kutembelea.
Naombeni ushauri au gari yenyewe.
Pamoja sana.
 
Habarini wadau.
Nina mil 5 nahitaji gari ya kutembelea.
Naombeni ushauri au gari yenyewe.
Pamoja sana.
nipe 4.5 nikupe gari safi si upo dar nicheku hapa mkuu 0712505049 mack 2 grand one ten
 
Mkuu usiogope Escudo huwa zinakuwa cheap sana.

SIO KWELI.....MIE NINAYO YA 1990 NA SIUZI...WEWE GARI INA 4WD na inapita kila aina ya njia milima na mabonde nikauze 5m ili iweje?

ngoja iendelee kubeba chakula cha kuku na cement wakati wa ujenzi huko mabwepande.
 
Mkuu plate number inasomekaje tufanye biashara?
 
Back
Top Bottom