Futuhi mmechemsha kwa hili

Futuhi mmechemsha kwa hili

Halafu jambo lengine wanalo kosea mara kwa mara (mtazamo wangu), yaani ninavyoamini wao wapo Mwanza na wanarekodi michezo yao Mwanza hukox2, ila kitendo cha kutaja taja majina ya maeneo ya mji wa Dsm, mara kwa mara, ni kujiaibisha kwa kweli. Kwa nini wasitamke maeneo waliopo ili kulitangaza jiji la Mwanza? Mfano, Leo Okechi alipofungua kipindi, kasema yupo kigamboni, na nijuavyo mimi, Tanzania hii, kigamboni maarufu ipo Dsm tu. Haya wengine nao wakataja mbagala kwa azizi ally. Ni ULIMBUKENI kwa kweli.

nani kakwambia wapo mwanza tu ,kama hujui uliza sio kupopoma humu sisi tunakuona mjinga
 
Hawako creative segment moja nusu saa halafu haichekeshi naona wanapiga kelele tu phuuuu
 
Braza k ni msubi na ndiyo maana kiswahili chao akina tofauti.
 
Hapo elimu inahusika,hata angechaguliwa yule aliyekatwa bado hao hao wangempa promo,sema kwa media na kwa nchi yenye multi party politics wanachofanya ni ku-undermine TV yao
 
Vipi Magufuli kuwa mgeni Rasmi Kagame Cup?

Yule anayeitwa Nicholas Musonye ubongo wake ni wa kupimwa. Hawa ndio wanafukuzwaga kwenye nchi za watu. Hata baada ya kuhojiwa na kuulizwa mara kadhaa swali lile lile, bado alirudia utumbo ule ule.

Ndio maana CECAFA haiendelei kama wenzetu wa COSAFA sbb ya uwepo wa vichwa visivyofikiri kwa umakini kama cha Musonye. Tanzania ni nchi ya vyama vingi, iweje ufanye utoto kama ule kwa maelezo '.....ni Mtanzania na amepewa nafasi ya kushika kiti.......' kwani wagombea wa vyama vingine ni Warundi au Wakenya wenzake.

Anapaswa kuangaliwa kwa makini. Mambo yao haya ya kijinga ndio yalisababisha wakauana huko kwao 2007. Bora Obama awapelekee ushoga
 
Kwani hali halisi ni ipi? Magufuli ni mtendaji mzuri hata kabla hajafika hapo alipo.Na hata sasa watumishi wengi ukiwasikia wakiwa kazini wanakwambia sasa hivi ni mchaka mchaka.So wale wako sawa wameakisi kinachofanyika kwenye jamii.
 
Kwani hali halisi ni ipi? Magufuli ni mtendaji mzuri hata kabla hajafika hapo alipo.Na hata sasa watumishi wengi ukiwasikia wakiwa kazini wanakwambia sasa hivi ni mchaka mchaka.So wale wako sawa wameakisi kinachofanyika kwenye jamii.

Acheni kuwafanya watanganyika wote ni mapunguani
 
Wahenga walisema, tutasikia na kuona mengi sana kipindi hiki cha uchaguzi,
Yangu macho na masikio
 
Hebu jiulize swali kuwa, walikuwa wapi kumsifu kabla ya kuchaguliwa kuwa mgombea? Inamaana hawakuona hapo mwanzo kama ni mtendaji? Acha uccm naufikili mara mbili.

walisubiri achaguliwe ndio wamsifu, kuna mwingine vyombo vilimpigia kampeni kweli, magazeti na tv baada ya kukatwa vyote kimya, futuhi waliliona hilo wakawa makini
 
hahahhahahah wasukuma wataachaje kumsifia mtu wao jamani waacheni
 
Hahaaa km namuona Braza K alivyokuwa anahaha ofisin kisa magufuli. Bt kiuhalisia star tv mmiliki wake keshawah kuwa mbunge pitia ccm km aliamua ivyo wao km wafanyakaz nadhan walifuata mijered yake tu na c taaluma au vpaj vyao

ndiye mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza.
 
Ccm ni wala rushwa tu wale hawana lolote kabisa yaana mwaka huu wametoka Futuhi nilikua wapenzi wao lakini sasa majitoaa tu maana hakuna namna nyingine acheni Uccm mmekwisha wezi watupu
 
Back
Top Bottom