Recent content by ba mdogo

  1. B

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    hii ndiyo maana ya mtu kufikiri kwa kutumia matumbo. na cha ajabu bado eti watu wanampigia makofi. Mungu ana kazi kubwa. Hapa yakiharibika utasikia anaangushiwa lawama Mungu. Kumbe tatizo ni fikra mchemko.
  2. B

    Sophia Simba: Sijawahi shutumu CHADEMA kupata misaada kutoka nje

    :drum: si nasikia haka kamama kamesoma sheria? si ndiyo haka kalilomtema Katibu Mkuu UWT Jk akampa UDC? si ndiko haka kaliko wahi kuwahimiza akina mama wawanyime unyumba waume zao kama wangeshabikia upinzani? si ndiko haka kalikovuruga utawala bora na ukawa bora utawala na matokeo yake ji...
  3. B

    Sophia Simba: Sijawahi shutumu CHADEMA kupata misaada kutoka nje

    :drum:haka ka mama si nasikia ni kanasheria? hivi si ndo haka kaliko wahimiza akina mama kuwanyima waume zao unyumba kama watashabikia upinzani? si haka kalikovuruga UWT na kwa kuonewa aibu JK akamteua kalikomtema kwa nafasi ya KM UWT kuwa DC?
  4. B

    Eti Hapa pana ukweli?

    Aisee huo ni uongo mtupu. Unajua mwisho watakueleza kuwa, mojawapo kati ya masharti ni kuwa hairuhusiwi wao wakate hata senti na badala yake wewe utume gharama ya utumaji. Wala usipoteze muda.
  5. B

    WikiLeaks: Tanzania official fears for his life!

    :drum: Lakini hebu tujiulize: mwaka 2007 kama sikosei, Hoseah alimsafisha Lowassa katika sakata la Richmond, mwaka huu, kamsafisah Mzee wa vijisent ili agomgee uspika. je JK alihusika katika uchunguzi? kwa nini atende na amrushie mzee wa watu lawama? je hoseah mwenyewe kweli ni msafi kivile...
  6. B

    Uhamiaji kwa kufukuta,rais atakiwa kumuondoa mgonja na kuteuwa makamishna kujaza nafa

    :target: mini nimesikia kuwa kwa ushirikina ndiyo kabisaa kabobea. may be ni moja ya sababu zinazowafanya wakubwa wasimguse. JK ana kazi kubwa. huyo kijana aliyejiua nakmbuka kuwahi kumkuta katika moja ya ofisi mkoani shinyanga na kwamba hata kuhama kwake kuliwasononesha wengi. Nawapa pole wana...
  7. B

    Dr Edward Hoseah ni nani?

    Naomba wana JF mnisaidie kupata CV ya huyu boss wa takukuru maana yanayosemwa na kuandikwa juu yake na bado serikali ikawa kimya haiingii aikilini. :target:
  8. B

    Dr Edwaed Hoseah ni nani?

    :drum: Dr Edward Hoseah ni nani? waja JF hebu nusaidieni. nimesoma na kusikia mambo mengi kuhusu Dr Hoseah ila sijapa wasifu wake mpaka sasa. Nisaidieni kupata cv yake na nguzo hasa anayoiegemea hadi kuwatishio hapa nchini. Itasaidia kujua kiburi chake cha hadi kumvua nguo Rais wake...
  9. B

    Balali yuko HAI - He is not dead

    :target:kama kumbukumbu zangu ziko sahihi ni kama vile mwili wake ulichomwa moto. au nilisikia vibaya?
  10. B

    Do we really need TAKUKURU?

    Kitu mhimu ni kuelewa hoseah na chenge wana ukaribu gani na ni kina nani katika nchi hii. yapo maneno kwa familia zao ziko jimbo moja huko kwa obama. kwa hiyo hawana uchungu na nchi hii. kwa nini wasibebane? lakini tumesema mara ngapi kuwa hoseah yupo kuwavuruga watanzania kwa maslahi binafsi...
  11. B

    Barua kwa Rais Kikwete

    :evil: tatizo kazungukwa na washauri bomu. na miongoni mwao wapo wanotumia nafasi zao kumkaanga. safu yake ni chafu. mimi hili la kusafishana wakati ccm bado inaugulia majeraha yaliyotokana na kutofanya vizuri kwa kukumbatia ufisadi haliniingii. nani asiyejua kuwa agenda kuu ya upinzani hadi...
  12. B

    Kama huu ni Uzushi usisome!!

    :israel:sipati picha bado. haya yanawezekana. kwani cha ajabu ni kipi? kama sofia aliwahi kuwa waziri wa utawala bora Rostam atashindwa nini? Kama nafasi hiyo alipewa Masha kwanini Makamba asipewe? Chenge alipokuwa anabwata na waandishi wa habari huoni kuwa alishakuwa na taarifa hiyo ya...
  13. B

    Mhhh!!! Kweli hatuna rais!!!!!!!!!

    mimi mwenzenu muda mrefu nshamshtukia hana kitu kichwani. ukitaka kuthibitisha, hebu pitia ahadi zote alizokwisha kutoa. zinatekelezeka? kama kwa muda wote wa miaka 5 wamejenga machinga complex moja how comes kwa miaka 5 ijayo wajenge machinga complex kila wilaya? mimi kura yangu najua ntampa...
  14. B

    GE2010 Ya Gazeti la Raiamwema na makala za Mbwambo; Tujadili hoja

    hicho kinachoitwa hoja wala sioni kama ni hoja. Mbwambo yuko sahihi kabisa tena hakuna alipokosea. Wewe ndiye mwenye matatizo. mtu anapokuwa mvivu kufikiri si vizuri ugonjwa wako ukawapa shida wengine. Mbwambo amethubutu. kama kuna alipokosea, tushomeshe.
  15. B

    Imani yetu kwa serikali ya Kikwete

    hivi ni mbuge gani kutoka ccm anaweza kuthubutu walau hata kuwaza kutoa hoja hiyo? sasa hivi ni mchakato wa uchaguzi na pamoja na kuwa na sheria mpya juu ya gharama za uchaguzi bado wanatoa rushwa tena kwa kasi ya ajabu. miaka miwili ya mwanzo itakuwa ni ya kurudisha gharama ilyitumika. miaka...
Back
Top Bottom