Elections 2010 Ya Gazeti la Raiamwema na makala za Mbwambo; Tujadili hoja

Am I noting some trend here? Wachangiaji wengi wanaounga mkono CCM wote wamejiandikisha hapa kati ya sasa na September 2010, je hawa wametumwa kwa kazi maalum?????? Au ndio wale Majasusi wanaosemwa. CHONDE CHONDE nyie walafi, tuachieni Tanzania yetu, tuacheni mwende zenu na tamaa zenu, enendeni zenu nyie walamba manyeo

Wamekuja kwa kazi maalumu, huoni mishipa inavyowatoka kumtetea boss wao..... kubwa ilikuwa kuchakachua votes za JF and kupandisha chati ya JK.
 
hicho kinachoitwa hoja wala sioni kama ni hoja. Mbwambo yuko sahihi kabisa tena hakuna alipokosea. Wewe ndiye mwenye matatizo. mtu anapokuwa mvivu kufikiri si vizuri ugonjwa wako ukawapa shida wengine. Mbwambo amethubutu. kama kuna alipokosea, tushomeshe.
 
Tungekuwa Rwanda, jambo Forum ingefungwa, Tanzania Daima ingekuwa ndoto, na Raia Mwema lisingekuwa hewani. Tungekuwa Rwanda, presidential term ni 7 years. Waulize ndugu wa yule mwandishi aliyekutwa amekufa for writing anti-Kagame article. Tungekuwa Rwanda, kabila moja tu ndio lingekuwa tabaka la utawala. Na tungekuwa kama Kagame tungepeleka jeshi letu DRC (Laurent Nkunda) kuterrorize WaHutu wa Congo and secure mineral rich areas. Tungekuwa Rwanda tungetumiwa na US kama njia ya kuiba utajiri wa DRC na ndio maan Rwanda gets plenty of aide monies from US. Tukiwa kama Rwanda, maana yake Kagame akifa leo tu, nchi inarudi kwenye vita. And YES Kagame took part in Genocide kwa msaada mkubwa tu wa US na ndio maana security council ya UN haikuzuia genocide, that will be the only way to put Kagame in power.

Acheni kutulinganisha na Rwanda, it has 10m people. With no National identity or cohesiveness. We have a much matured democracy than them, and that is the pre-requisite for sustainable maendeleo.
Correction: Wahutu ambao unadai Kagame ana terrorize si wa Congo. Hawa walikimbia kutoka Rwanda baada ya njama zao za kuwaua Watutsi kukomeshwa. They are not innocent bystanders. Hata hivyo hujazungumzia jinsi Rwanda inavyochapuka kimaendeleo East Africa nzima. Leo wana airline yao inayokuja Dar-es-salaam wakati Kikwete amesaidia kuiua Air Tanzania kwa kumweka rafiki yake pale ambaye alikuwa amefukuzwa kazi na Mkapa. Talk about selectivity!
 
Gazeti hili na hasa makala ya Johson Mbwambo ni za chuki za wazi kwa JK imekuwa ada kwa makala za Mbwambo kila wiki kumsema,kukejeli na kumkosoa vibaya JK.kwa muda mrefu sana hali hii inatia kinyaa na kumuona Mbwambo ni mtu asiyeaminika.Tukumbuke kuwa kabla ya kampeni za uchaguzi mtu huyu aliandika makala huku akisema kuwa Waandishi wazingatie maadili katika kipindi hiki.
Lakini mlolongo wa makala zake toka mwanzo wa kampeni umeanza kwenda kinyume na kile alichokiandika kabla ya kampeni.Umeanza kuonyesha kuwa Mbwambo amekuwa na agenda yake iliyojificha dhidi ya JK.Mara aseme kimfaacho Jk ni asasi na si urais huku akisahau kuwa ni Kikwete huyu huyu ambaye amekuwa madrakani kwa miaka mitano iliyopita huku Mbwambo akiwa kama mwananchi wake. Hili ameliandika katika makala yake ya jana 06/10/2010.Amefikia mahali akathubutu hata kuandika kuwa inafaa JK akajifunze kwa Rais Kagame wa Rwanda.Sina hakika kama alitaka JK akajifunza kutumia nchi za wengine kufadhili ghasia na kutumia nafasi hiyo kusaidia nchi yake au alimaanisha JK akajifunze jinsi ya kuwanyima wapinzani uhuru na kutishia vyombo vya habari,sijui hasa alimaanisha nini.Labda Watanzania wenzangu mtanisaidia.
Hivi Ukubwa wa Tanzania utaufananisha na Rwanda? kama kujifunza kwanini Kagame wa Rwanda asije kujifunza kwa JK KWENYE ujenzi wa Chuo kikuu cha kuigwa cha Dodoma?Mbwambo hivi Rwanda wana chuo kama UDOM? umeshindwa kumpa heko JK hata kwa jambo kama hilo?Au wewe ndo ulipanga shughuli hiyo?Maandishi ya MBWAMBO hayana tofauti na mwandishi anayetumia jina la bandia anayejiita MSOMAJI RAIA hawa ni kama mapacha na Mbwambo kuanzia mtiririko wa uandishi wao,mawazo hasi dhidi ya JK, chuki zao za wazi zisizo na sababu kwa JK .HUYU MSOMAJI RAIA kaanza kuandika toka mwaka jana kuwa Rais Jk hashauriki. Hiyo ilikuwa mwezi wa tisa 2009. mwaka huu kajisahau kaandika kuwa Rais Kikwete anasikiliza marafiki zake sana. sasa mtu ambaye hashauriki atasikiliza marafiki na watu wake wa karibu?Cha ajabu minal rahman Mbambo kawahi kuandika makala kumsifu waziri Mkuu Mizengo Pinda kama waziri makini na mtendaji ni swali je aliyemteua Pinda si ndio JK? kazi hizo zinazo mfurahisha Mbwambo ndizo za JK.anafanya kwa maelekezo ya JK. HII NI DOUBLE STANDARDS.MFANO gazeti la jumatano ya jana Mbwambo karudia habari ya World Economic Forums uliofanyika Dsm 5-7 Mei 2010.
huko nyuma aliwahi kuandika makala ya kukebehi mkutano ule kwa vile tu mgeni Rasmi alikuwa JK.imekuwa kama Mbwambo ana allergy na jina la JK.ameamua kuwa anarudia rudia maneno ya kumchafua JK.NAJIULIZA kama Mbwambo angepewa fursa ya kuambiwa ukimuombea jambo jema moja jirani basi wewe utapata mara mbili, yaani kama ukiomba jirani awe na nyumba basi Mwenyezi Mungu atakupa nyumba mbili. kwa Mbwambo angeomba yeye atolewe jicho moja ili Jk akose macho mawili.masikini maombi huombwa kwenye mambo mema tu.
Napata ugumu kujua kama Raia mwema ni gazeti la Kina Ulimwengu au ni la Padri Slaa? maana Tanzania Daima inajulikana ni la Mbowe na hili ni la Slaa?
Naishia hapa kwa sasa.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Mbwambo kimeo long time braza.
 
ccm woote mmejaa mawazo mdebwedo
32255_121703247858782_112258888803218_222024_70321_s.jpg

haswa, we tafakari ,nini kinachokuuma kujadiliwa kwa jk, ovyooooooooooooooooo
 
Ndo maana Mbwambo anaandika kitu kinaitwa tafakari jadidi na si utabiri. HONGERA MBWAMBO na kama mtu hawezi kutafakari basi akasome magazeti ya Shigongo
 
Ndugu Tafakari nimesoma kwa makini makala yako nimesoma kila neno naona umejieleza vizuri bila shaka labda nikwambie watu wa aina ya Jonson Mbwambo ni wa aina gani, hawa ni watu wasio na shukrani kabisa.............kama unabisha nenda pale Mzumbe sekondari halafu uliza habari zake au tafuta file lake utaona alivyozoea kutukanatukana, kwanza huwa hawezi kujadili kwa hoja wala mantiki badala yake hujikita kwenye upande mmoja tu na kujadili kwa chuki labda niunge mkono wazo lako kwamba kama vile mtu anavyoweza kuwa na allergy na samaki basi na huyu Johnson Mbwambo ana allergy na Kikwete dawa ni kumpuuza kwa maana asiyejua maana haambiwi maana.

Jamani mbona mnaanza kuisahau mantiki ya demokrasia? Kuna sababu gani ya kila mtu kumpigia magoti JK wakati nafsi yake inasita? Mbwambo ni mmoja ya waandishi wanaopenda kueleza yale wanayofikiri bila kumung'unya mung'unya. Alisema hivyo wakati wa Mkapa na hata leo anaendelea kusema hivyo.
Ila ule ushauri alioutoa kwenye Raia Mwema ya wiki hii sio mchezo....jamaa hastahili kuwa rais..anafaa kuongoza Charity organization. Kwani kasema uongo?
 
Umenisaidia sana kukujua jinsi akili yako inavyofanya kazi. Kumbe hufai!!! Acha kumfatafata mtoto wa dada yangu... atataabika akiwa na wewe.
 
Gazeti hili na hasa makala ya Johson Mbwambo ni za chuki za wazi kwa JK imekuwa ada kwa makala za Mbwambo kila wiki kumsema,kukejeli na kumkosoa vibaya JK.kwa muda mrefu sana hali hii inatia kinyaa na kumuona Mbwambo ni mtu asiyeaminika.Tukumbuke kuwa kabla ya kampeni za uchaguzi mtu huyu aliandika makala huku akisema kuwa Waandishi wazingatie maadili katika kipindi hiki.

Sasa wewe na CCM wenzio unataka apindishe maadili ya uandishi kwa kuandika makala za kumsifia JK na CCM. Hiviunafikiri waandishi wote ni makanjanja na wapokea bahasha kama wale ambao wako kwenye "payroll" ya JK na CCM .

Mwandishi yeyote anayechukulia kazi yake serious hawezi kuandika habari za kumsifu JK kwani hana alilofanya kwa miaka 5 iliyopita. Ni kama Wa-Tanzania wamepoteza miaka 5 ya uhai wao kwa kuwa na rais anaiyeitwa JK.
 
rwanda wameendelea kwa kila kitu as compared na tz. Bwana jk atajifunza vitu vingi mno, ikiwamo utawala bora na jinsi ya kuwadhibiti wezi, manyang'au na mafisadi pamoja na kuweka vipaumbele vya serikali na kuvisimamia ipasavyo.

Rwanda ukiiba pesa, hupewi muda wa kuzirudisha ili usamehewe. Pia kamanda agame huwa hasemi ati ''nawafamu wezi wooote wa bandarini ila nawapa muda wajisafishe''.

thats very true
 
...Unataka Mbwambo na Raia Mwema wawe wanamsifia JK?? Uhuru na Mzalendo watakuwa na kazi gani?? TBC na Daily News Je?? Go Mwambo, Go...!! :A S thumbs_up:
 
Sijui kama uli-TAFAKARI kabla kuweka post hii. This is a site for those who dare to talk and talk inteligently. Mbwambo kama ilivyo kwa watanzania walio wengi wenye uelewa wa kati na wa juu, JK ameshindwa kazi! kama wewe ni mwandishi mzuri omba page kwenye gazeti iulipendalo umtetee JK (Najua magazeti makini yatakubali kuchapa makala yako kwa sababu hata hivyo utakayoandika hayawakilishi maoni ya gazeti). Kama unaona unaumia kwa JK kuchafuliwa na Mbwambo na wewe andika umsifie JK. Unaonekana na wewe ilizipata za EPA. Anza kutafuta visa utorokee kokote kule kwani huyu unayemtetea amekwishaona maandishi ukutani (ambayo wewe huna upeo wa kuyaona): "Mene mene tekeli na peresi" (ufalme wake umepimwa na kuonekana umepungua); ataondoka, ataondolewa kinga, na kisha atashitakiwa na kuhukumiwa kwa sababu ni fisadi wa mafisadi! Wewe huna kinga, utaswekwa ndani haraka sana, Salama yako ni kuacha kumkumbatia huyu fisadi sasa! Rudisha pesa zetu! Take this gentle advice seriously!
 
Gazeti hili na hasa makala ya Johson Mbwambo ni za chuki za wazi kwa JK imekuwa ada kwa makala za Mbwambo kila wiki kumsema,kukejeli na kumkosoa vibaya JK.kwa muda mrefu sana hali hii inatia kinyaa na kumuona Mbwambo ni mtu asiyeaminika.Tukumbuke kuwa kabla ya kampeni za uchaguzi mtu huyu aliandika makala huku akisema kuwa Waandishi wazingatie maadili katika kipindi hiki.
Lakini mlolongo wa makala zake toka mwanzo wa kampeni umeanza kwenda kinyume na kile alichokiandika kabla ya kampeni.Umeanza kuonyesha kuwa Mbwambo amekuwa na agenda yake iliyojificha dhidi ya JK.Mara aseme kimfaacho Jk ni asasi na si urais huku akisahau kuwa ni Kikwete huyu huyu ambaye amekuwa madrakani kwa miaka mitano iliyopita huku Mbwambo akiwa kama mwananchi wake. Hili ameliandika katika makala yake ya jana 06/10/2010.Amefikia mahali akathubutu hata kuandika kuwa inafaa JK akajifunze kwa Rais Kagame wa Rwanda.Sina hakika kama alitaka JK akajifunza kutumia nchi za wengine kufadhili ghasia na kutumia nafasi hiyo kusaidia nchi yake au alimaanisha JK akajifunze jinsi ya kuwanyima wapinzani uhuru na kutishia vyombo vya habari,sijui hasa alimaanisha nini.Labda Watanzania wenzangu mtanisaidia.
Hivi Ukubwa wa Tanzania utaufananisha na Rwanda? kama kujifunza kwanini Kagame wa Rwanda asije kujifunza kwa JK KWENYE ujenzi wa Chuo kikuu cha kuigwa cha Dodoma?Mbwambo hivi Rwanda wana chuo kama UDOM? umeshindwa kumpa heko JK hata kwa jambo kama hilo?Au wewe ndo ulipanga shughuli hiyo?Maandishi ya MBWAMBO hayana tofauti na mwandishi anayetumia jina la bandia anayejiita MSOMAJI RAIA hawa ni kama mapacha na Mbwambo kuanzia mtiririko wa uandishi wao,mawazo hasi dhidi ya JK, chuki zao za wazi zisizo na sababu kwa JK .HUYU MSOMAJI RAIA kaanza kuandika toka mwaka jana kuwa Rais Jk hashauriki. Hiyo ilikuwa mwezi wa tisa 2009. mwaka huu kajisahau kaandika kuwa Rais Kikwete anasikiliza marafiki zake sana. sasa mtu ambaye hashauriki atasikiliza marafiki na watu wake wa karibu?Cha ajabu minal rahman Mbambo kawahi kuandika makala kumsifu waziri Mkuu Mizengo Pinda kama waziri makini na mtendaji ni swali je aliyemteua Pinda si ndio JK? kazi hizo zinazo mfurahisha Mbwambo ndizo za JK.anafanya kwa maelekezo ya JK. HII NI DOUBLE STANDARDS.MFANO gazeti la jumatano ya jana Mbwambo karudia habari ya World Economic Forums uliofanyika Dsm 5-7 Mei 2010.
huko nyuma aliwahi kuandika makala ya kukebehi mkutano ule kwa vile tu mgeni Rasmi alikuwa JK.imekuwa kama Mbwambo ana allergy na jina la JK.ameamua kuwa anarudia rudia maneno ya kumchafua JK.NAJIULIZA kama Mbwambo angepewa fursa ya kuambiwa ukimuombea jambo jema moja jirani basi wewe utapata mara mbili, yaani kama ukiomba jirani awe na nyumba basi Mwenyezi Mungu atakupa nyumba mbili. kwa Mbwambo angeomba yeye atolewe jicho moja ili Jk akose macho mawili.masikini maombi huombwa kwenye mambo mema tu.
Napata ugumu kujua kama Raia mwema ni gazeti la Kina Ulimwengu au ni la Padri Slaa? maana Tanzania Daima inajulikana ni la Mbowe na hili ni la Slaa?
Naishia hapa kwa sasa.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Kwenda zako huko usituchanganye hukoooo watu tushachoka na ufisadi wenu we unatuletea pumba hapaa!!!! Hicho ndicho kilichokuleta JF kwa watu makini? Wasaliti kama nyie katika nchi za wenye kupenda haki adhabu yenu ni kunyongwa mpaka kufa. Yaani mimi hata kuusoma huo upupu wako nimeona kero nikaamuka kukatisha.
 
mbwambo tumetoka wote NDUNGU, wasikukatishe tamaa, andika bila woga. hao wanaokupinga hapa jamvini ni kina KINANA, usiwaogope, october 31 watathibitishwa na watanzania kuwa opposition side. HARIKAAAA....!!!
 
Am I noting some trend here? Wachangiaji wengi wanaounga mkono CCM wote wamejiandikisha hapa kati ya sasa na September 2010, je hawa wametumwa kwa kazi maalum?????? Au ndio wale Majasusi wanaosemwa. CHONDE CHONDE nyie walafi, tuachieni Tanzania yetu, tuacheni mwende zenu na tamaa zenu, enendeni zenu nyie walamba manyeo

Kaka mnataka kubaki pekee yenu. Na wao pia wan haki ya kuja na misimamo na propganda zao kama ambavyo nayi mmekuwa mkitumi haki yenu. Matusi na kashfa hayana manufaa kwako na wal kwa ajenda yako inayokufanya uwe active hapa jamvini....

Kama ni majasusi inawezekana ni wale NUSU NYINGINE ambao hawareport kwa DR Slaa nao wapo kazini....
 
Gazeti hili na hasa makala ya Johson Mbwambo ni za chuki za wazi kwa JK imekuwa ada kwa makala za Mbwambo kila wiki kumsema,kukejeli na kumkosoa vibaya JK.kwa muda mrefu sana hali hii inatia kinyaa na kumuona Mbwambo ni mtu asiyeaminika.Tukumbuke kuwa kabla ya kampeni za uchaguzi mtu huyu aliandika makala huku akisema kuwa Waandishi wazingatie maadili katika kipindi hiki.
Lakini mlolongo wa makala zake toka mwanzo wa kampeni umeanza kwenda kinyume na kile alichokiandika kabla ya kampeni.Umeanza kuonyesha kuwa Mbwambo amekuwa na agenda yake iliyojificha dhidi ya JK.Mara aseme kimfaacho Jk ni asasi na si urais huku akisahau kuwa ni Kikwete huyu huyu ambaye amekuwa madrakani kwa miaka mitano iliyopita huku Mbwambo akiwa kama mwananchi wake. Hili ameliandika katika makala yake ya jana 06/10/2010.Amefikia mahali akathubutu hata kuandika kuwa inafaa JK akajifunze kwa Rais Kagame wa Rwanda.Sina hakika kama alitaka JK akajifunza kutumia nchi za wengine kufadhili ghasia na kutumia nafasi hiyo kusaidia nchi yake au alimaanisha JK akajifunze jinsi ya kuwanyima wapinzani uhuru na kutishia vyombo vya habari,sijui hasa alimaanisha nini.Labda Watanzania wenzangu mtanisaidia.
Hivi Ukubwa wa Tanzania utaufananisha na Rwanda? kama kujifunza kwanini Kagame wa Rwanda asije kujifunza kwa JK KWENYE ujenzi wa Chuo kikuu cha kuigwa cha Dodoma?Mbwambo hivi Rwanda wana chuo kama UDOM? umeshindwa kumpa heko JK hata kwa jambo kama hilo?Au wewe ndo ulipanga shughuli hiyo?Maandishi ya MBWAMBO hayana tofauti na mwandishi anayetumia jina la bandia anayejiita MSOMAJI RAIA hawa ni kama mapacha na Mbwambo kuanzia mtiririko wa uandishi wao,mawazo hasi dhidi ya JK, chuki zao za wazi zisizo na sababu kwa JK .HUYU MSOMAJI RAIA kaanza kuandika toka mwaka jana kuwa Rais Jk hashauriki. Hiyo ilikuwa mwezi wa tisa 2009. mwaka huu kajisahau kaandika kuwa Rais Kikwete anasikiliza marafiki zake sana. sasa mtu ambaye hashauriki atasikiliza marafiki na watu wake wa karibu?Cha ajabu minal rahman Mbambo kawahi kuandika makala kumsifu waziri Mkuu Mizengo Pinda kama waziri makini na mtendaji ni swali je aliyemteua Pinda si ndio JK? kazi hizo zinazo mfurahisha Mbwambo ndizo za JK.anafanya kwa maelekezo ya JK. HII NI DOUBLE STANDARDS.MFANO gazeti la jumatano ya jana Mbwambo karudia habari ya World Economic Forums uliofanyika Dsm 5-7 Mei 2010.
huko nyuma aliwahi kuandika makala ya kukebehi mkutano ule kwa vile tu mgeni Rasmi alikuwa JK.imekuwa kama Mbwambo ana allergy na jina la JK.ameamua kuwa anarudia rudia maneno ya kumchafua JK.NAJIULIZA kama Mbwambo angepewa fursa ya kuambiwa ukimuombea jambo jema moja jirani basi wewe utapata mara mbili, yaani kama ukiomba jirani awe na nyumba basi Mwenyezi Mungu atakupa nyumba mbili. kwa Mbwambo angeomba yeye atolewe jicho moja ili Jk akose macho mawili.masikini maombi huombwa kwenye mambo mema tu.
Napata ugumu kujua kama Raia mwema ni gazeti la Kina Ulimwengu au ni la Padri Slaa? maana Tanzania Daima inajulikana ni la Mbowe na hili ni la Slaa?
Naishia hapa kwa sasa.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
inakuuma nini JK kuandamwa na Mbwambo kwa mambo yenye ukweli,ndio Jk aende Rwanda akajifunze namna ya kujenga nchi na umoja wa kitaifa.Kagame is the best at all JK ni kihiyo sana hana darubini ndio maana anasingizia udini kama sababu ya kudhoofu kwake,hata Lowassa,Chenge,Karamagi,Makamba,Sofia walichaguliwa na JK.Jamani uzalendo kwanza
 
Ni haki yake kikatiba na kama JK haridhiki na chambuzi hizo naye ana haki zake kikatiba kulalamika mahakamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom