Mhhh!!! Kweli hatuna rais!!!!!!!!!

Japo huoni mantiki ya ujumbe wake lakini haijuzu kumchagua Rais mzinifu, uzinifu ni moja ya dhambi kubwa kwa dini zote na kwa waislam adhabu yake ni kifo. Uzinifu huleta ufukara wa mali, magonjwa na mabalaa. Ukimchagua kiongozi mzinifu kuna hatihati nchi kutumbukia kwenye mabalaa na ufukara wa kupindukia. Tumia akili yako vizuri rudi kwenye maadiko matakatifu then fanya maamuzi ya busara.
unataka kuwaambia nini watanzania? watu wawachague viongozi kwa kuangalia imani zao zinasemaje? kama umeona dhambi moja ya uzinzi kwa mgombea mmoja, unazijua nyingine? au unajua kama wagombea wengine ni wazinzi au la? UZINZI hufanyika kunako siri. hata wewe wajua hilo.

ALIYE MSAFI NA AWE WA KWANZA KUMRUSHIA MWENZAKE JIWE!!

Yale yale ya Alshabab, kulazimisha watu wafuge ndevu kwasababu dini inawataka hivyo, lakini haohao wanakwenda kuteka meli na kuua raia wasio na hatia..........sijui hiyo nayo ndo dini inataka?
 
Promises promised by j.k so far is 67.lets assume till the end of the campain it will be 70 amoung of 3 international airports,3 luxurious ferry for all great lakes,modern infrastructures including dar-es-saalam fly overs etc.1 year equal to 365 days times 5 years =1825 days then divide by 70 promises=26 days only to fulfill one promise neglect free education and healthy services impossible.no need of calculation so far the guy is seriously suffered with mental sickness.
 
Kwa hiyo hiyo mijizi iliyotuibia yote EPA, Richard Monduli, Meremeta, Kagoda, Deep Green, Nk. orodha ni ndefu siyo dhambi ila kudhini tu? Kwani yeye nani kampa haki ya kuchukua nafasi ya Mungu kuhukumu? Mamlaka yake yako kwa hayo majizi ayashughulikie asichukue nafasi isiyo yake
Mkuu, umemwona huyu! this is the kind of guys ambae radius ya uwelewa wake is no more than the length of his synagogue.
 
Promises promised by j.k so far is 67.lets assume till the end of the campain it will be 70 amoung of 3 international airports,3 luxurious ferry for all great lakes,modern infrastructures including dar-es-saalam fly overs etc.1 year equal to 365 days times 5 years =1825 days then divide by 70 promises=26 days only to fulfill one promise neglect free education and healthy services impossible.no need of calculation so far the guy is seriously suffered with mental sickness.
Kile kitufe cha senki yuu sijakiona. Ngoja nikupe hapa hapa
Thank you for this useful post!
 
Mke+mdogo+wa+Kikwete+2.jpg
Hivi huyu jamaa alimuoa au alipewa zawadi? si mtoto wa swahiba wake huyu?
 
Mbona umechelewa kujua ndugu yangu!huo ndiyo mzigo tulionao watanzania!
 
mbona umechelewa kujua ndugu yangu!huo ndiyo mzigo tulionao watanzania!
na ni bora basi liwe zigo linalobebeka.hilo halibebeki mkuu mana ni kama la kinyesi hata ukijitaidi vipi bado ukilishusha utanuka mabegani ka sio kichwani achilia mbali mikononi.
 
Japo huoni mantiki ya ujumbe wake lakini haijuzu kumchagua Rais mzinifu, uzinifu ni moja ya dhambi kubwa kwa dini zote na kwa waislam adhabu yake ni kifo. Uzinifu huleta ufukara wa mali, magonjwa na mabalaa. Ukimchagua kiongozi mzinifu kuna hatihati nchi kutumbukia kwenye mabalaa na ufukara wa kupindukia. Tumia akili yako vizuri rudi kwenye maadiko matakatifu then fanya maamuzi ya busara.

Jamani hivi kuna mzinifu zaidi ya JK? Haya alikuwa anayasema lakini yalikuwa hayatoki moyoni mwake naamini. Nani asiyejua kwamba kajaza mahawara zake pale ikulu kina Premmy Kibanga?

Aache hizo siasa chafu Bwana huu si wakati wake!!!

Tiba
 
Nilikua naangalia taarifa ya habari ya ITV nikajikuta nimepatwa na hasira sana. siku zote najua jk brain yake haipo ok ila leo kadhibitisha asilimia mia kuwa there is a nut missing.

yaani alikuwa anaongea as if yupo kwenye mipasho ya taarabu eti ANAPONDA UZINIFU NA UVUNJIFU WA AMRI YA SITA YA Dr Slaa. nikajiuliza kichwani hivi hayo yanatuhusu nn ss raia. ss tunataka atuambie yy atatufanyia nn personal affairs za watu ss hazituhusu. kwanza yy ni mchafu kuliko hata anayemsema.

kwakweli busara zake ni 40%. housegirl wangu mwenyewe hana elimu lakini amemshangaa sana.

by the way,mi si mwanachama wa chama chochote ila kura yangu aisahauuuuuuuu.

Yaani hata hiyo 40% umempendelea saaaaana, sidhani kama busara yake inazidi 10%.
 
mimi mwenzenu muda mrefu nshamshtukia hana kitu kichwani. ukitaka kuthibitisha, hebu pitia ahadi zote alizokwisha kutoa. zinatekelezeka? kama kwa muda wote wa miaka 5 wamejenga machinga complex moja how comes kwa miaka 5 ijayo wajenge machinga complex kila wilaya? mimi kura yangu najua ntampa Dr SLAAAAAA
 
Jamani hivi kuna mzinifu zaidi ya JK? Haya alikuwa anayasema lakini yalikuwa hayatoki moyoni mwake naamini. Nani asiyejua kwamba kajaza mahawara zake pale ikulu kina Premmy Kibanga?

Aache hizo siasa chafu Bwana huu si wakati wake!!!

Tiba

Imagine binafsi siamini kwamba aliyasema haya .Otherwise kama aliyasema basi jk ni mmoja wa watu wa ajabu sana duniani. Hili ni eneo ambalo hakupaswa kugusa maisha yake yote mpaka aingie kaburini.Sasa ameligusa napata tabu kichwani kuelewa kwamba anahisi hatujuwi aliyokuwa anayafanya kabla na baada ya kuingia ikulu ilihali yako wazi kabisa? Yule eva aliye hoi kitandani Arusha, wale wadada wa Sinza pale, kule Iringa yule mtoto wa Kiarabu, yule dada mwingine pale Dodoma halmashauri je?

Nachelea kusema anaanzisha ugomvi wa mawe huku nyumba yake ya vioo kwani nahisi sitakuwa nimemtendea haki. Ukiwa ndani ya nyumba mpaka mawe yavunje vioo yatakuwa yamepungua nguvu so hutadhurika sana. May be mfano mzuri ni kwamba kwenye hili eneo la "uzinzi" ni kama vile yeye ana manati mkononi na anamtisha Dr.Slaa ambaye mkononi ana AK 47 ambayo iko full loaded. Ushauri kwangu kwa jk, PLEASE JARIBU KUCHAGUA MANENO.
 
Japo huoni mantiki ya ujumbe wake lakini haijuzu kumchagua Rais mzinifu, uzinifu ni moja ya dhambi kubwa kwa dini zote na kwa waislam adhabu yake ni kifo. Uzinifu huleta ufukara wa mali, magonjwa na mabalaa. Ukimchagua kiongozi mzinifu kuna hatihati nchi kutumbukia kwenye mabalaa na ufukara wa kupindukia. Tumia akili yako vizuri rudi kwenye maadiko matakatifu then fanya maamuzi ya busara.

...which means haya mabalaa ya kupinduki (richmonduli, deep green nk) na ufukara wa mali wa nchi yetu tulio nao sasa unatokana na kiongozi aliye madaralani kuwa ni mzinzi, eh????
 
Guys,

Dont joke with this! Kikwete is a healthy case! He needs to attend some kind of clinic for detailed Investigations!

Afanyiwe deep analyssis! Amekata tamaa sana... He isnt Inspared at all! Anakwenda kweda tu...kwa kujilazimisha, hajielewi..anaongea ogea tu!

Am telling you there is something siginificat troubling this man.. JUST Wait and see!!
 
Mbona haongelei - MADINI YETU YANAVYOIBIWA? MBONA HAONGELEI RICHMOND? ----------- hana JIPYA KABSAAAAAAAA - KWA KWELI APISHE WENGINE JAMANI ..............OH! ANATUAIBISHA SANA WATANZANIA

Mbaya zaidi anaongelea hayo na yale ya MACHINGA COMPLEX... Huku Gofu la kilichokuwa kiwanda cha nyama cha TANGANYIKA PACKERS likimsuta kwa nyuma...
 
Back
Top Bottom