Recent content by Arkad

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba nitumie vyanzo vyovyote ambavyo vitanisaidika kuandika shahada.

    Habari , Nategemea kuandika research katika ngazi ya ''bachelor's degree'' katika uchumi . Mada :'' THE ROLE OF SMALL BUSINESS IN THE INNOVATIVE DEVELOPMENT OF THE ECONOMY OF TANZANIA(EAST AFRICA)'' TAFADHALI NAOMBA NITUMIE VYANZO VYOVYOTE AMBAVYO VITANISAIDIA. Natanguliza shukrani, Arkad ,K...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mkulo hili lako

    wananchi hawawezi ku-handle ukweli..hivyo njia rahisi ni kudanganywa..wananchi wakiambiwa ukweli patakuwa hapatoshi . Watu wanapenda ahadi ndicho serikali inachofanya..Kuna vitu vingine wanakwambia hupaswi kujua kw amani yako..wanasema wanaku ''protect''.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje katika hili wadau!

    Most books prove that the term Capital comes from greek words which means BRAIN. Ideas yako inaweza ikawa super1 bt unatakiwa uwe na vi subideas vitakavyokufikisha ktk hiyo idea kubwa..Ushauri anza na biashara ambazo hazihitaji mtaji au zinahusisha mtaji mdogo ili kukusanya mtaji kukufikisha ktk...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nataka biashara itakayonisomesha.

    Habari nzuri. Kama haya uliyoyasema yana ukweli 100% Nimejitolea kukugharamia kidato cha 6 au kukuongezea mtaji ufanye biashara itakayohusisha mtaji mkubwa zaidi , mara baada ya kuhakikisha mimi binafsi kwa kina hayo uliyoyasema ni ya kweli. Nitaamua moja ktk hayo niliyosema. Kama huna...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Je! umaskini unasababishwa na nini?

    Umasikini unasababishwa na fikra mbaya zisizohamsha maaendeleo au kufikiri A na kutenda Z. Mtu anaitwa masikini pale anapoishi chini ya $ 1 kwa siku kwa nchi kama Tanzania . Mtu anatakiwa kujikomboa kupitia elimu yaani sio lazima aende shule anaweza kujifundisha mwenyewe mambo kadhaa kisha...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nikikupa Millioni 20 Utazifanyia nini?

    20M = USD 12000 Nakopesha watu 12 kwa USD 1000 , Kwa mwaka mzima , kila mmoja anarudisha USD 1200 . au Nanunua taxi 4 kwa 5M kila moja , tax kwa siku Tsh. 15000/= au Nanunua viwanja 2 vya 10M then after some months naweza kuviuza zaidi ya 15M kila kimoja.. Hizi biashara mimi binafsi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata masoko katika biashara yako

    sell cheap and tell the truth.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa biashara gani inafaa

    Choose Ideas According To Your Capital And Environment Of Your Area . Below Is A List Of Some Of Marketables Ideas In Alphabetical Order; A Accountant Adventure Tourism Advertising Agency Advertising Copywriter Advertising Maps Advertising Sheets Advertising Specialty Sales Aerobics...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa biashara gani inafaa

    Salamu Zimefika. Remmy Biashara Zipo Katika Aina Kuu 3 ; 1.Zinazokubalika Kidini , 2.Zinazokubalika Kiserikali , 3.Zisizokubalika Kiserikali/Kidini. Kabla Sijatoa Mawazo Ya Biashara Ningependa Kujua Vitu Viwili Kutoka Kwako . 1. Ungependa Kufanya Biashara Gani Katika Makundi Hayo 3 Hapo Juu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania mshauri wa biashara

    Soma Maelezo Ya Mtu Vizuri , Sijasema Wanatoa Ushauri Mbaya. Sio Wafanya Biashara Wote Watakunyima Taarifa . Vile Vile Sio Unaenda Kwa Mtu Kichwa Kichwa Tu . Information Age Sasa , Taarifa Nyingi Sana Unapata Bure ..Kizuri Zaidi Taarifa Nyingine Sio Lazima Uombe , Nyingine Unaangalia Tu Mchezo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania mshauri wa biashara

    Tafuta Mfanyabiashara Ambae Anafanya Biashara Kama Zako Ambae Ametanuka Zaidi Ya Wewe Huyo Ndie Akupe Ushauri , Mshauri Wa Biashara Ambae Hafanyi Biashara Hawezi Kukusaidia Zaidi Kama Mfanya Biashara .
  12. A

    JamiiForums Tanzania The secrecy of quatations

    Talk Doesn't Cook Rice ~ Chinese Proverb
  13. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ramani za nyumbawandugu

    Habari Safi. Check Sample katika hiyo mitandao. Архитектурное Бюро ДИЗАЙНУС - архитектурное проектирование, строительство, дизайн интерьера, загородные дома, городская архитектура...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wadau nifanyeje kupata wateja kwenye HR Consulting firm yangu?

    Mr. Wamoro ajiri mtu wa kukuletea kazi . Huyu mtu kazi yake kubwa kupitia consultancy agents zote za Tanzania kadri atakavyoweza na kutengeneza connection . Yaani kwa kila kazi utakayoletewa na consultancy agent nyingine unaipa % yake kutokana mtakavyokubaliana. Mtu utakaye muajiri awe na uwezo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Neighborhood serious partners required maximum 10 people (buy big piece of land and develop in Dar)

    Mwezi jana niliwapa idea kama hii baadhi ya watu wangu wakaribu hapa Russia tuje kupiga project kama hii Nyumbani mwakani ila wengi wameonesha kutovutiwa . Leo nimesoma hapa moyo wangu umefarijika na kuona kumbe kuna mtu nafanana nae katika kufikiri . Naikubali project 100% . Nategemea kutia...
Back
Top Bottom