mshauri wa biashara

Singidani

Member
May 24, 2011
7
0
natafuta mshauri wa biashara.nipo mkoani singida.nataka kupanua na kuboresha biashara zangu.nataka kujua pia ushauri una gharama kiasi gani.
 
Tafuta Mfanyabiashara Ambae Anafanya Biashara Kama Zako Ambae Ametanuka Zaidi Ya Wewe Huyo Ndie Akupe Ushauri , Mshauri Wa Biashara Ambae Hafanyi Biashara Hawezi Kukusaidia Zaidi Kama Mfanya Biashara .
 
, Mshauri Wa Biashara Ambae Hafanyi Biashara Hawezi Kukusaidia Zaidi Kama Mfanya Biashara .
sio kweli mkuu, unaweza kuwa mshauri wa biashara na ukatoa ushauri mzuri hata kama hufanyi biashara. Watu wanasomea tu hiyo fani, watu wana mawazo mazuri ya biashara ila kwa sababu moja au nyingine hawafanyi biashara wanabaki kuwa washauri. Hata humu ndani sio watu wote wanaotoa ushauri wa kibiashara wana biashara.Akimtafuta mtu anayefanya biashara kama yake anaweza asishauriwe vizuri kwa sababu ya ushindani wa kimasoko.
 
Soma Maelezo Ya Mtu Vizuri , Sijasema Wanatoa Ushauri Mbaya. Sio Wafanya Biashara Wote Watakunyima Taarifa . Vile Vile Sio Unaenda Kwa Mtu Kichwa Kichwa Tu . Information Age Sasa , Taarifa Nyingi Sana Unapata Bure ..Kizuri Zaidi Taarifa Nyingine Sio Lazima Uombe , Nyingine Unaangalia Tu Mchezo Umekwisha. Wake Up Tanganyika.

TAFADHALI SOMA TENA MAELEZO YANGU KWA MAKINI.
 
Ok naomba niwasaidie na niko tayari kutoa ushauri kwa yeyote atakae penda..,, kwa hapo juu wote waliotangulia wanaweza kuwa sahihi lakini HASA Arkad ntamuunga mkono zaidi,,,,.. kwa namna gani naweza kusaidia hii ni profile fupi yangu = ninafanyabiashara mbalimbali tangu 1981-sasa, elimu Dip. engineering,Degree B.com finance,MBA.PGDip entrepreneuship (finalist). maana yangu ni nini Practical experience ya biashara zaidi ya 25 yrs na elimu ya darasani ndio hiyo. ni kweli kabisa pana mambo mengi sana pana tofauti kubwa kati ya hao watu 2 msomi pekee na mtendaji pekee inategemea sana na hoja husika kwa atakaye penda kuuliza nitajitahidi kwa kadri niwezavyo kumsaidia, kimaendeleo yangu ya biashara japo sijafikia marengo yangu lkn nimeadvance vya kuridhisha - In operations and Investments na biashara zetu ni moja ya huduma muhimu sana ktk baadhi ya mikoa hapa nchini KARIBUNI....
 
nitashukuru kama utakuwa mentor wangu pia, sijawahi fanya biashara ndio naplan start up biz. Nina bachelor ya food processing anda technology na masters ya management, economics and consumer studies.
 
Washauri wapo wengi tu humu ndani Husninyo newmzalendo na wengine wengi wamepata ushauri toka kwangu ndugu karibu tuwasiliane simu 0755394701
 
natafuta mshauri wa biashara.nipo mkoani singida.nataka kupanua na kuboresha biashara zangu.nataka kujua pia ushauri una gharama kiasi gani.
ingekua vizuri kama ungetaja hizo aina za biashara zako ambazo unataka kupanua na kuboresha ili kuwapa wana jf clue ya areas of yo bbiznesili watoe ushauri wao.
 
  • Thanks
Reactions: LAT

Similar Discussions

Back
Top Bottom