Nikikupa Millioni 20 Utazifanyia nini?

Wale wanaonzishaga threads za jinsi ya kupata mikopo ya mitaji leo wako wapi? Chance kama hii ni very rare.
 
Nimeshituka unauliza swali kijanja upate wazo alichukue liwe la kwako? Ukifanya hivyo hutafanikiwa tafuta ushauri wamo humu washauri wa biashara kama uko serious nipigie simu 0755394701 nikupe ushauri.
 
Wajasilimali ndio kina nani?

Kuandika vizuri kunakushinda utaweza kweli kuwa na millioni ishirini? na kama kweli unazo tuoneshe ulivyozipata na kodi ulizolipa. Ukishindwa basi hizo ni fedha za wizi na unataka kuzihalalisha kwa kutuletea humu tukupe maarifa.

Kama kweli ni hivyo, kaziwekeze CHADEMA huko ndio kunakufaa!

Ampelekee Mwigulu kule Igunga ili aweze kuchukua mke wa mtu mwingine!, au ampe Kafumu awalipe Polisi wamsaidie kufanya vurugu jumapili ili waibe kura vizuri
 
Wana JF, swali nililouliza hapo ni ukweli asilimia 100. Mpango wangu ni kuleta kitu kipya kabisa kwenye Tanzania market, maarufu kama venture capitalist au Angle Investor. Lengo kuu ni kuwatafuta entrepreneur ambao wanamawazo ambayo yana make sense, (start up business). I will find mtaji, hakuna Interest payment lakini kuna Investment recoup ndani ya muda flani na asilimia fulani ya business ownership with % fulani ya annual divided payout. All the cash injected are specific kufund growth.

I am looking kwa wajasiliamali ambao wana product zaidi ya wale ambao wanataka copy cut. Good starting point kwa wote.
 
Nitafuga kuku wa kienyeji

Kuna wafugaji wangapi wa kuku wa kienyeji Tanzania? Jee soko la kuku wa kienyeji lina dhamani gani? Million 20 utanunua vifaranga na ujenzi wa mabanda? Jee umeshawai kufuga kuku katika maisha yako? Jee ni nini kinakufanya uamini kwamba utaweza kubrake even?

Hayo maswali niliyo uliza hapo ni normal questions ambazo mjasiliamali lazima ayajibu
 
Mkuu unanihakikishiaje kwamba nikisema idea yangu hutaichukua na kuifanya yako ? maana wewe unao mtaji tayari.
 
Mkuu unanihakikishiaje kwamba nikisema idea yangu hutaichukua na kuifanya yako ? maana wewe unao mtaji tayari.
Non compete agreement, unatengeneza mkabataba kwamba una revel idea yako na everything is off record, I can't copy it or distribute it. Idea is not kucopy biashara za watu bali kuwekeza kwenye small business entrepreneur ambao wana product ambazo zitakuwa next big thing. Kwenye idea 20 i might pick one or two..... I am invest my own money and other investors money. My main goal is making profit but through your product. You have idea, kuna wengine wana mitaji.
 
Msukule kazini! Kwa post hii NAPE hatakulipa...hili ni jukwaa la biashara we mama ebo!

Wajasilimali ndio kina nani?

Kuandika vizuri kunakushinda utaweza kweli kuwa na millioni ishirini? na kama kweli unazo tuoneshe ulivyozipata na kodi ulizolipa. Ukishindwa basi hizo ni fedha za wizi na unataka kuzihalalisha kwa kutuletea humu tukupe maarifa.

Kama kweli ni hivyo, kaziwekeze CHADEMA huko ndio kunakufaa!
 
Nita lima mboga mboga.inaweza kuoneka biashara ya kijinga lakin na uhakika itaingiza alot of money.kwa kulima vitu kama pili pili boga carrot vitungu kwa kutumia kilimo cha kisasa yaan bila kutegemea mvua kwa sababu eneo lipo na nikaribu na soko
 
Wewe nipe hiyo 20m nikurudishie pesa yako ndani ya mwaka mmoja+5% interest.
 
Nimeshituka unauliza swali kijanja upate wazo alichukue liwe la kwako? Ukifanya hivyo hutafanikiwa tafuta ushauri wamo humu washauri wa biashara kama uko serious nipigie simu 0755394701 nikupe ushauri.

Umegundua eeh! Angecome clean na kuomba msaada wa jinsi ya kuinvest hiyo twenty yake!
 
ningemtafuta dc wa igunga Fatuma Kimario aniuzie nguruwe katika wale anaowafunga.afu niwafanyie mchakato wa kurost pork,nifanye packaging ya kg1,na kg 1itakuwa $7.5 kisha nipeleke Egypt,Libya ,Tunisia,Algeria ,Qatar ,UAE, NA KUWAIT...kule hii bidhaa adimu mkuu...Nipe basi

Zote tisa! wewe umeniacha hoi! ngoja niende kwenye kikao cha saccos nikirudi nitakuw na na idea nzuri.
 
Wana JF, swali nililouliza hapo ni ukweli asilimia 100. Mpango wangu ni kuleta kitu kipya kabisa kwenye Tanzania market, maarufu kama venture capitalist au Angle Investor. Lengo kuu ni kuwatafuta entrepreneur ambao wanamawazo ambayo yana make sense, (start up business). I will find mtaji, hakuna Interest payment lakini kuna Investment recoup ndani ya muda flani na asilimia fulani ya business ownership with % fulani ya annual divided payout. All the cash injected are specific kufund growth.

I am looking kwa wajasiliamali ambao wana product zaidi ya wale ambao wanataka copy cut. Good starting point kwa wote.

biashara ya chakula inalipa, so biashara ya kuuza chakula swhwmu moja nzuri ipo huku nilipo, nategemea wateja wangu wakuu ni wanachuo, wanafunzi na wazungu. Iyo hela itazalisha mara dufu. Business plan tayari ninayo.
 
Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako.

Niambie Millioni ishirini utawekeza wapi?

UMEULIZA ukinipa 20m Tshs ntazifanyia nini? Kwa mawazo yangu ntakurudishia siku hiyo hiyo. Unategemea nini wakatai shs Tz haina thamani kwenye ushiundani wa market ndani East Africa? Au ni yale yale ya k,ufungua bar na nyama choma? Mbona haitoshi hiyo hela? hata kufungua bar.
 
Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako.

Niambie Millioni ishirini utawekeza wapi?
Mi kama sijaelewa vile. Hela unanipa, yaani sio mkopo. Halafu unataka nusu ya mtaji wako baada ya 3yrs (mtaji upi sasa! hela si ulinipa?). Halafu 25% ya kampuni ndio nini hapa, sijakuelewa kabisa.

Kama 20m ni mkopo unaotakiwa kurudi pamoja na riba ya 50% ya 20m, hapo shughuli pevu. (halafu ile 25% ya kampuni inaingia vp hapa sasa?)

Hebu nifafanulie ndugu yangu, wengine sisi kiswahili lugha ya pili tulikikuta primary school
 
Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako.

Niambie Millioni ishirini utawekeza wapi?

20M = USD 12000

Nakopesha watu 12 kwa USD 1000 , Kwa mwaka mzima , kila mmoja anarudisha USD 1200 .

au

Nanunua taxi 4 kwa 5M kila moja , tax kwa siku Tsh. 15000/=

au

Nanunua viwanja 2 vya 10M then after some months naweza kuviuza zaidi ya 15M kila kimoja..

Hizi biashara mimi binafsi nafanya sasa , ila biashara isiyoumiza kichwa na uhakika zaidi ni biashara ya kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom