Njia rahisi ya kupata masoko katika biashara yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia rahisi ya kupata masoko katika biashara yako

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MKITO, Aug 13, 2011.

 1. MKITO

  MKITO Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wadau inafahamika kuwa kufanya biashara yeyote ile inahitaji ujasiri lakini kabla ya kuanza lazima ufanye utafiti wa biashara unayotarajia kuifanya wakuu wa great thinkers naheshimu mchango wa kila mtu lakini leo naomba tusaidiane kitu muhimu kibiashara inafahamika hakuna biashara bila masoko.nimeleta hoja hii hapa jamvini kwa maana ya kuamini michango ya wadau
  nimekuwa nikifuatilia biashara mbali mbali wapo waliofanikiwa na ambao wameshindwa lakini kila mmoja na sababu yake sasa je mnaweza kunisaidia kuongeza mbinu za kupata soko zaidi hasa kwa kutumia njia rahisi zisizo na garama katika kupata masoko wote tunafahamu masoko ni matangazo je ukiacha njia kama tovuti je kwa biashara za kibongo njia ipi ni rahisi kwa biashara kupata soko zaidi
  mimi nafahamu sana kuwa mteja ndio balozi wako mkubwa je wewe mdau unajua ipi?
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [h=2][​IMG] Jifunze namna ya kuanzisha biashara[/h]
  Kwenye thread hii nimeona wengi wamepost hoja ya kutaka ushauri wa kuanzisha biashara, na wengine wameenda mbali zaidi kwa kutaja kiwango cha pesa alicho nacho kwamba ni biashara gani itafaa. Lakini inaonyosha dalili kwamba waanzaji wengi wa biashara wanakimbilia kuanzisha biashara kabla ya kupanga mikakati ya utafiti kwa kutumia kigezo cha business plan. Ni dhahiri uanzishwaji wa biashara ambayo itasajiliwa serikalini na kulipia kodi ni tofauti na mfumo wa biashara za kimachinga ambao hununua na kuuza eneo analotaka na sipopata wateja huhamia eneo jingine.

  Business Plan ni jambo la kwanza na la msingi katika uanzishwaji wa biashara yako. Mambo ya msingi unayotakiwa kufanya katika business plan yako ni kama ifuatavyo:
  • Aina ya biashara unayokusudia kuanza
  • Wateja walengwa kwa biashara yako wanaoishi maeneo hayo, wanaopita maeneo hayo nk.
  • Eneo la kufanyia biashara yako ukitilia maanani kuchunguza ushindani wa biashara uliopo katika eneo hilo.
  • Fanya utafiti na wafanyabiashra wengine ambao wana uzoefu na biashara hiyo ili kupata mwelekeo wa biashara yako.
  • Fanya utafiti wa source ya kupata bidhaa kutoka makampuni yanayouza na tafiti ni kampuni ipi yenye maslahi kwako.
  • Andaa mfumo wa gharama za uendeshaji wa biashara ikiwa ni pamoja na Mtaji wako,
  • Gharama za uendeshaji ikiwa ni pamoja na gharama za uanzaji wa bishara, vitendea kazi, kulipia pango, tax, umeme, usafiri, simu, mishahara, nk. (Kumbuka wewe unalipwa mshahara pia na umeajiriwa na biashara yako).
  • Andaa jedwali la mapato na matumizi ya kila siku, juma mwezi hadi mwaka mmoja.
  • Kisha tathmini faida utakayopata baada ya gharama za uendeshaji na kumbuka biashara inasimama ambayo ina net profit, gross profit tu ni hasara.
  Mtaji ulio nao usiuhesabu kama ndio kianzio cha biashara yako, maana kuna gharama za maandalizi ya mahali utakapoweka biashara yako, leseni za biashara pamoja na vitendea kazi vingine. Hivyo vyote uvifanyie mahesabu katika gharama za uanzishwaji wa biashara yako.
  Hakikisha theluthi moja ya mtaji wako wa pesa umebaki kwa ajili ya uendeshaji wa biashara yako maana biashara hadi isimame na kuanza kujiendesha yenyewe huchukua wastani wa miezi 6 kama upo eneo lenye wateja wazuri.

  Huu ni ushauri wangu binafsi, nategemea kuna wengi hapa wenye ushauri mzuri zaidi watajazia yaliyopungua.​
   
 3. A

  Arkad Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sell cheap and tell the truth.
   
 4. babalao

  babalao Forum Spammer

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Soko la bidhaa zako linategemeana na aina ya bidhaa zako na walengwa katika soko lako. Kama huuzi bidhaa zako kwa watu walio mbali unahitaji kueneza ujumbe wako MATANGAZO kwa njia ya mdomo usione aibu kuwatangazia watu unafanya biashara yako, unaweza kutebngeneza business card na nyuma ya card zako unaeleza unachokifanya mbele unaweka jina lako na contact adress.Unaweza kuweka bango. Njia nzuri ya kutangaza biashara yako ni kutoa huduma nzuri. Mwisho ushauri wangu ni kwamba biashara ni matangazo huwezi kukwepa gharama hizo.
   
 5. b

  busiminet Senior Member

  #5
  Jan 8, 2015
  Joined: Dec 14, 2014
  Messages: 194
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [FONT=&quot]BUSIMINET COMPANY LIMITED[/FONT]
  [FONT=&quot]Po.box 12659
  Kinondoni-Dar es salaam[/FONT]
  [FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Tanzania [/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Mob: [/FONT][FONT=&quot]07 65 90 10 93 / 06 58 12 31 58[/FONT]
  [FONT=&quot]E-mail: [/FONT][FONT=&quot]busiminet@gmail.com[/FONT]
  [FONT=&quot]Website: [/FONT][FONT=&quot]busiminet.blogspot.com[/FONT]
  OUR SERVICES: Tax, Business, IT, Accounting &Bookkeeping and Other services
  [FONT=&quot]TAX
  [/FONT]
  [FONT=&quot]1.[/FONT][FONT=&quot]Assist in preparation and submission of Returns to TRA
  2.
  Assist in estimation and determination of tax liabilities.
  3.Online Returns submission and Payment Registration with TRA.
  4.
  Assist in Tax Payment processing.
  5.Reminding about due dates for Tax payment and Other Tax/Statutory compliance.
  6.
  Tax health-checks
  7.
  Processing transfer or change of ownership with TRA
  8.
  Assist in filing and submission of TRA forms.
  9.
  Assist in Applications for Requesting Tax exemption.
  10.
  Tax consultation and advisory.
  BUSINESS

  1.
  Assist in business licenses registration with municipals, ministries and other Government bodies.
  2. Assist in business name, NGO's, Succoss and Company registration with BRELA.
  3.
  Preparation of Business Proposal, Constitution, Memorandum, Article of Association and Company Profile
  [/FONT]
  [FONT=&quot]4.[/FONT][FONT=&quot]Preparation of business plans
  5.
  Business Restructuring
  6.Loan processing
  7
  .
  Business consultations
  8.
  Preparation of Research proposals [/FONT]
  [FONT=&quot]IT AND RELATED SERVICES[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]
  GRAPHIC DESIGN
  1.
  Logo,Bill boards, Posters.
  2.
  Business cards, Identity cards (ID).
  3.
  Brochures Flyers, Invitation cards.
  4.
  Calendar,Product label Magazines
  5.
  Photo Editing and Retouching Special Envelope, Movie covers
  6.
  Website, Blogs and Systemdesign and development
  7.
  Computer maintenance
  8.
  Computer software installation
  9.
  Network designing and installation
  10.CCTV installation
  11.
  AC installation and maintenance[/FONT]
  [FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]ACCOUNTING AND BOOK-KEEPING SERVICES
  [/FONT]
  [FONT=&quot]1.[/FONT][FONT=&quot]Stock counting
  2.
  Preparation of bank reconciliations
  3.
  Preparation of annual financial statements complying with International Financial Reporting Standards.[/FONT]

  [FONT=&quot]4.[/FONT][FONT=&quot]Posting of financial transactions from source documents , (IFRS).
  5.
  Preparation of budgets and management reports.
  6.
  Payroll services (preparation of the payroll including pay slips)
  7.
  How to keep books of account [/FONT]

  [FONT=&quot]OTHER SERVICES[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]
  1.[/FONT]
  [FONT=&quot]Mining
  2.
  Marketing and advertisement
  3.
  Education
  4.
  Agricultural activities
  5.
  Gas activities
  6.
  Cargo clearing
  7.
  Legal consultancy
  8.
  Staff recruitment & Out-Sourcing
  9.
  Project management and analysis
  10. Training and workshops to Enterpreneurs, scholars and other groups that need to excel in their business[/FONT]

  [FONT=&quot]Business in the smooth environment ensures growth


  okoa muda,okoa pesa na kuza biashara yako kwakuhudumiwa na Busiminet co.ltd

  [/FONT]
  [FONT=&quot][/FONT]​
   
 6. riltz

  riltz JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2015
  Joined: Apr 5, 2015
  Messages: 243
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Omba Mungu akuongoze kabla ya kuanza biashara yako. Then fuata yshauri WA wadau. By Riltz
   
 7. l

  lubajaro JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2015
  Joined: Mar 29, 2015
  Messages: 1,208
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kaka naomba unitumie katika email yangu niliyokupm...natanguliza shukrani
   
 8. l

  lubajaro JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2015
  Joined: Mar 29, 2015
  Messages: 1,208
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Real Estate Investments zina
  Fall ktk category ipi?
   
 9. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2015
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Okay, already done. Anything else?
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2015
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nadhani wengi wetu tunakimbilia kuanza biashara za kuiga kabla ya utafiti ni biashara gani na kutojiingiza kiulanini kwenye udhindani kwa kuiga kwa jirani.
   
 11. riltz

  riltz JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2015
  Joined: Apr 5, 2015
  Messages: 243
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Can we talk through inbox? Pliz
   
 12. M

  Miah Jr's New Member

  #12
  Jul 27, 2015
  Joined: Jun 11, 2015
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitafanyaje ili kupata masoko ya sabuni za kigoma
   
 13. N

  Nando JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2015
  Joined: Oct 5, 2014
  Messages: 4,895
  Likes Received: 1,532
  Trophy Points: 280
  Huu uzi mzuri sana kwa watu wanaojielewa.
   
Loading...