Wadau kaka na dada zangu salaamu!!nakuja hapa jamvini na kilio cha kuomba msaada wa dhati.kifupi kutokana na hali kubwa ya ujasiliamali nilionayo nilifungua kampuni ya huduma za kitaalamu (consultancy) ikijikita hasa katika huduma za rasilimali watu (human resources),ikijikita katika huduma kuu nne nazo ni consultancy(katika mambo ya hr,finance na banking),training (capacity bulding),recruitment, research (data collection &surveys) na eneo la mwisho ni business development services (bussiness plan write up,proposal write-up,microfinance consultating).kampuni imesajiliwa kihalai na kua na vibali vyote muhimi,nanao wataala wa kutosha na wenye uzoefu mkubwa sana,na pia natumia freelance consultants kutoka sehemu mbalimbali nchini,na wote nimeingia nao mkataba wa kazi.shida yangu:wadau tangu nifungue office hii ni mwaka mmoja na nusu sasa na nimeweza kupata kazi tatu tu (3) tena kutoka kwa mteja mmoja tuu ambaye amalizika sana na kiwango na ubora wa kazi yetu na akatupa kazi zingine mbili tena.zaidi ya huyu mteja mmoja nimeshindwa kabisa kupata wateja wengine na hili hasa limetokana na ukweli kwamba ni kazi kupata mteja sehemu kama hujuani na mtu pale.nimejaribu sana kufanya matangazo na kutuma company profile kwa potential clients wengi sana bila mafanikio.sasa hata hela za kuendesha office zimekwisha na miiezi kadhaa nitatakiwa kulipia pango la office.niko kwenye hali ngumu sana.naomba wadau mnipe mawazo yenu je nita kutumia huduma za kampuni yangu? Je nawezaje kupata partners ambao wana connections na clients mbalimbali nishirikiane nao kwa makubaliano ya kugawana faida ya kila kazi watakayo nisaidia kuipata.naomba kuwasilisha.
usisahau kutuletea feedbackMore Ideas...
1. Knw ur potential client - kuna kampuni kibao zinaanzishwa tanzania zinatafuta wafanya kazi- andika proposal ya hizi servive and then andaa meeting na baadhi ya watu wa hz coy ujiuze
2. Agressive marketing - inabid ww au mtu wako wa markerting awe anatembelea kwny maeneo kama bar maarufu na viwanja vikubwa ambavyo anaweza kukutana na ma ceo na potential client, huko watu hubadilishana bness kadi kununuliana 1,2 na kuji-express kwa prospective customer
3. Una website, recruitment portal?? Develop...itangaze kirahisi kama jf, fb, kweny forums n.k
4. Fanya joint venture au partnership.
5. Boost ur outlook-maranyingine kuna mazoea kwamba wa-tz wababishaji hawana capacity au hawana man power- unaweza kuchanganya team yako iwe multicultural kiasi
6.presentation - hii ni njia rahisi, andaa world class presentation kuhusu firm yako na services alafu tafuta upenyo ku-present kwenye targeted audience
mkuu hebu jaribu hayo kwanza ukikwama nikupe mbinu nyingine...
Thanks a lot.Noted.