Unakosea, haimaanishi kama mimi ninamiliki mabasi yangu sasa nimekuwa mbunge niyaache ama niachane na biashara hiyo, si kweli hata kidogo, ni kwamba kwa vile wewe unaingia siasani, zile biashara zako unakabidhi waendeshaji wengine (Delegates) kwa mfano kama wewe ni Managing Director na unatakiwa...