Ni hatua na maamuzi mazuri aliyoyafikia Bw. Saanane, lakini kuna watu kama dady igogo wamenishangaza sana kwa kauli zao walizotoa huko FB baada ya saa8 kutangaza uamuzi wake punde, tena ukizingatia nafasi zao ndani ya chama. Dady Igogo embu act kama mtu aliekomaa kisiasa na sio m2 anaekuwa mwili...
Haya ndio maneno aliyoyaandika katika ukurasa wake wa facebook;
"Nimenusurika kuuawa muda si mrefu. Mungu mkubwa.
Askari kwenye gari ananiambia na bahati yako
nimekukosa, nililenga kichwa....kijana mmoja alikaa
mbele yangu amepigwa risasi kwenye paji la uso, sijui
kama amenusurika...
Acheni ujinga nyie..Mnyika ni mkurugenzi wa habari wa chama. Unadhani hicho alichokifanya asipofanya yeye nani afanye?...kwanza hakuna namna yoyote ile hii kitu inaweza muadhiri juu ya hatma ya ubunge wake ubungo. Hata aende TLP mnyika kwa msingi alionao ubungo ataendelea daima kuwa mbunge wetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.