CHADEMA Iko Imara-Lwakatare

CHADEMA Iko Imara-Lwakatare

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Chadema Wilfred Lwakatare amesema chama chake kimezidi kuwa imara baada ya kuchukua hatua ya kuwafukuza wasaliti mara moja walipobainika.

Kiongozi huyo anayeongoza Idara nyeti ya Kurugenzi ya Ulinzi na usalama ndani ya chama amesema Idara yake ya usalama iko makini sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote.

Ammesema wako Imara kulinda mali za chama na viongozi wake na kupokea maagizo yoyote yatakayoamuliwa na ngazi ya juu.

Lwakatare amesema si jambo la ajabu kufukuza wasaliti wanaokwenda kinyume na taratibu za chama.

Source:Mwananchi.

Wakati anaongea hayo alikuwa na sumu mkononi
 
lwakatare njaa tu, zamu yako inakuja utajua akina kilimanjaro ni akina nani
 
Back
Top Bottom