John Mnyika: Too Soon to Lose you!

John Mnyika: Too Soon to Lose you!

Akiwa too local si dhambi: uchaguzi ni local, ushindani ni kati ya locals, vyama ni local siasa ni local for locals hakuna foreign hapa. Watu wenye mawazo foreign ndiyo wanaojipendekeza kwa foreigners, uchumi wanaupeleka kwa foreigners wanabakiwa madalali wa mali za locals. Mmi nadhani sio kashfa kumuona kiongozi kuwa ni local isipokuwa kama unajinyanyapaa kwa kuwa kwako local ungependa uitwe Foreigner wakati sio kweli.
"Kiongozi Mkuu yuko too local" - waraka...

Sijui tumelaaniwa au ndo uchu wa madaraka au ndo kutumika na huo upande wapili....HV CCM wametekeleza sera walizoahidi 2010?...manake muda wooote ni CDM..UMEME unazingua kila cku au kwa sababu wao wana majenereta Automatic...Tangu waingie madarakani kazi yao ni cdm tu yaani ni usee....Afu...

Afu na wewe unaymetaka Mnyika awe balozi wako ungemuomba na c kumtisha unaonekana tu huna lolote....Ngoja nikuelekeze sema iv 'Mnyika Naomba utumie busara yako ili yale mambo yaishe mimi ni mwana mpotevu naomba kurudi ili niwatumikie wananchi wangu mimi ni binadamu shetani tu..ila hakikisha shetani hasikii manake atajua tu kwamba unamsingizia"

Nisinge penda Mnyika ajiingize kwenye haya mambo. awaachie wakina msigwa na lema.

Nahisi unaumia na kushikwa katika mtanziko kutokana na kinachoendelea katika chama chenu. Hali yako inakuwa mbaya sana pale unapohisi katika baadhi ya mambo nafsi haikubaliani na hukumu wala mikakati inayofanywa na waliokujengea mazingira wewe kuwa upande wao dhidi ya pande hasimu. Unatamani uwe impartial lakini katika vita hivi hakuna nafasi hiyo. Wakati mwingine unatamani uvuke zuria ujiunge na upande wa pili lakini nalo hili linakuwea gumu. Umefungwa katika kifungo cha kulipa fadhila kiasi kwamba kuna mahali unadhulumika kuafikiana na unaopingana nao kimawazo na kimkakati. Katika mtanziko huu naamini unaweza kuwa unapita katika wakati mgumu zaidi hata kuliko MM, M1, M2 na M3.

Naweza kukutabiria kwa hakika kuwa uamuzi mgumu na wa busara utakaoufanya katika sakata hili utakuwa na ubashiri wa mafanikio yako ya kisiasa kuanzia ubunge 2015 na vyeo vikubwa katika chama na nchi katika kipindi cha 2015-2025 Mungu akikupa uzima. Lakini iwapo utashindwa kupiga hesabu vizuri matokeo yatakuwa kinyume chake. siombei, ila utapotea katika siasa za uwakilishi na za vyama. Katika kadhia hii, kulingana na hitimisho la saga zima wako wanasiasa wengi e.g Mch Msigwa, Mh. Halima, etc watapotea na wengine watapotezwa katika ulingo wa siasa. Wewe Mnyika siombei na sitopenda upotee wala nyota yako izamishwe. Napenda niendelee kukuona ukishiriki kutoa mchango katika uwakilishi na siasa za vyama vya nchi ijayo baada ya 2015.

Katika suala hili kujiweka kwako sawa siyo lazima uhame kambi. Unaweza ku-play determined role ya ku-initiate upatanishi wa kambi hasimu na record itakupa heshima ya pekee. Na utabaki salama ukikwea juu katika siasa za nchi hii.

Ninakuombea tafakuri yakinifu itakayofuatiwa na maamuzi makini.

Lakini katika yote kumbuka kuwa mpole kama ua maana MM ni mjanja kama nyoka!
Mkuu hizi punch zako unakimbusha mtu mmoja makini tulikuwa naye jamvi miaka ya nyuma Waberoya.

Last edited by a moderator:
Unaweza kunipa sababu ya msingi ya Mnyika kuzima simu zake zinazojulikana kwa umma na kukatika kimawasiliano toka wiki ya tarehe 10? Pili, Je, ni kweli Mnyika alikuwa miongoni mwa delegation ya wabunge wa Kamati ya Maliasili iliyokwenda nje? Wadhani kwa nini aliamua kulazimisha safari ya ghafla kukacha kikao cha Kamati Kuu?

Wewe funguka tu!

Too emotional........! sasa Mnyika atende kinyume na matakwa ya kamati kuu? ishu hapa ni Mh. Zitto kuangalia alipojikwaa asimame tena..... me naona bado ana nafasi kubwa sana......tatizo magamba mna manipulate hii isue kwa faida yenu wenyewe... kwa bahat nzuri naona Zitto ameshawastukia.........!

KUMBUKA
mchelea mwana kulia hulia yeye-

Ka John Mnyika ni kakijana lakini kina akili za kizee kama mchumba wa Josephine

ivi ashamaliza ile on-line masters alokuwa anasoma?

mkuu, mie pia mwanaCDM ila nimesthushwa na kamati kuu kunyamazia mihemko ya lema hapa jf dhidi ya kiongozi wake (zzk), haijalishi zzk ni mnafki au la ila utaratibu lema alioutumia haukubaliki kwa mujibu wa taratibu za chama. kwa nn kamati kuu imekaa kimya kwenye jambo hili???!!! kwa nn mnatulazimisha tuanze kukubaliana na wapinzani wetu juu ya double standard ndani ya chama? lema yeye ni nani asiadhibiwe? sisemi adhabu yake iwe sawa na ya akina zzk ila 'angalau' basi kitu flani ionekane kimefanyika - dr slaa tafadhali, najua wewe ni member mzuri na huenda utapita hapa chonde chonde usipotezee - huku site tukikitetea chama hatueleweki, tendeni sawa tupate sababu za kueleweka!!!!!

Too emotional........! sasa Mnyika atende kinyume na matakwa ya kamati kuu? ishu hapa ni Mh. Zitto kuangalia alipojikwaa asimame tena..... me naona bado ana nafasi kubwa sana......tatizo magamba mna manipulate hii isue kwa faida yenu wenyewe... kwa bahat nzuri naona Zitto ameshawastukia.........!

KUMBUKA
mchelea mwana kulia hulia yeye-
mkuu, hata mie pia ni mwanaCDM, ila hakika sioni tatizo la zzk - kwani kuwa na nia ya kugombea uenyekiti ni dhambi?! au uenyekiti ni kwa ajili ya nani? na hapa usisahau tuhuma za makamu mwenyekiti cdm wakati anaomba kujiuzulu aliposema mzee mtei asiwachagulie wanachama kiongozi anayemtaka yeye - aache demokrasia ichukue mkondo wake! cham chetu kina kauli mbiu nzuri tu ya chama cha kidemokrasia na maendeleo - tuishi katika maneno hayo na tusiwe vipofu pale viongozi wetu wanapoenda kinyume tuwakosoe. mzizi wa zzk kuchukiwa na viongozi wenzie ndani ya chama ulianzia rasmi pale alipotangaza nia ya kugombea uwenyekiti!!!! kuanzia hapo, wamekuwa wakiishi kwa wasiwasi tu dhidi yake na hapa sasa panajengwa mazingira ya kumuonesha kwa jamii kwamba hafai ili tu asiweze kushiriki kwa namna yeyote uchaguzi mkuu ndani ya chama mwakani!

nahisi unaumia na kushikwa katika mtanziko kutokana na kinachoendelea katika chama chenu. Hali yako inakuwa mbaya sana pale unapohisi katika baadhi ya mambo nafsi haikubaliani na hukumu wala mikakati inayofanywa na waliokujengea mazingira wewe kuwa upande wao dhidi ya pande hasimu. Unatamani uwe impartial lakini katika vita hivi hakuna nafasi hiyo. Wakati mwingine unatamani uvuke zuria ujiunge na upande wa pili lakini nalo hili linakuwea gumu. Umefungwa katika kifungo cha kulipa fadhila kiasi kwamba kuna mahali unadhulumika kuafikiana na unaopingana nao kimawazo na kimkakati. Katika mtanziko huu naamini unaweza kuwa unapita katika wakati mgumu zaidi hata kuliko mm, m1, m2 na m3.

Naweza kukutabiria kwa hakika kuwa uamuzi mgumu na wa busara utakaoufanya katika sakata hili utakuwa na ubashiri wa mafanikio yako ya kisiasa kuanzia ubunge 2015 na vyeo vikubwa katika chama na nchi katika kipindi cha 2015-2025 mungu akikupa uzima. Lakini iwapo utashindwa kupiga hesabu vizuri matokeo yatakuwa kinyume chake. Siombei, ila utapotea katika siasa za uwakilishi na za vyama. Katika kadhia hii, kulingana na hitimisho la saga zima wako wanasiasa wengi e.g mch msigwa, mh. Halima, etc watapotea na wengine watapotezwa katika ulingo wa siasa. Wewe mnyika siombei na sitopenda upotee wala nyota yako izamishwe. Napenda niendelee kukuona ukishiriki kutoa mchango katika uwakilishi na siasa za vyama vya nchi ijayo baada ya 2015.

Katika suala hili kujiweka kwako sawa siyo lazima uhame kambi. Unaweza ku-play determined role ya ku-initiate upatanishi wa kambi hasimu na record itakupa heshima ya pekee. Na utabaki salama ukikwea juu katika siasa za nchi hii.

Ninakuombea tafakuri yakinifu itakayofuatiwa na maamuzi makini.

Lakini katika yote kumbuka kuwa mpole kama ua maana mm ni mjanja kama nyoka!

mnyka anaumia sana kuona jinsi mbowe anavyoiendesha chadema kidkteta kwa maslahi yake bnafsi na baba mkwe wake mtei,binamu yake lema, na dk .silaha ambaye kutokana na njaa yake na safari za nje anazopewa anakubali kila analolitaka mwbowe.. Mnyika toka hadharani toa ya moyon najua mdee,,msgwa na wengneo hawapendi kinachoendelea chadema kwa mbowe kuendelea kuifanya chadema saccos yake....ata kwenye kikao cha siri cha kummaliza zitto mnyka na sugu walmuonya mbowe

Sijashangaa tundu lisu kukubali kutumika kama kondomu na mbowe lakini mawakili wanapenda sana pesa ndio maana marando(afsa usalama wa taifa) anasimamia kesi za kna mramba...tunaaamini lisu analpa fadhila za dada yake kupewa ubunge wa vti maalum chadema

Tanzania bhana haaa haa haa haa

---->>>Liberal Member<<<-----

Sijashangaa tundu lisu kukubali kutumika kama kondomu na mbowe lakini mawakili wanapenda sana pesa ndio maana marando(afsa usalama wa taifa) anasimamia kesi za EPA... anazopnga babu silaha tunaaamini lisu analpa fadhila za dada yake kupewa ubunge wa vti maalum chadema

Mnyika kazi kwako kusuka au kunyoa..lakini tambua wana Cdm tupo nyumba kama mkombozi uliyebaki ambaye huegemei upande wowote

Mnyika tafadhali mjibu huyu jamaa. Hata kama utapoteza siasa zako kiasi gani ila kamwe hutopoteza ubungo.

Ka John Mnyika ni kakijana lakini kina akili za kizee kama mchumba wa Josephine
Mzee kwakuwa hajanunuliwa au kwakuwa hajaandika warakawa wa siri? Mnyika ametulia na amesheheni busara kwa ufupi ni JEMBE

Back
Top Bottom