Selection UDSM 2014/2015

Selection UDSM 2014/2015

Now u talk like a brother.....ipo hv hata ukiweza kununua kitanda full...huwezi kulala peke ako na huku kuna nduguzo kibao tu wanalala nje kwa wadern kaka.
Udugu ndo imani yetu....maisha ya pale yapo hvo.....hostel hazitoshi and thats it.
Tusamehene tu kwa matusi...ila hata mwenyewe ulivoniattack haikuwa sawa sana...''hv baed sijui mkoje'' haikuwa sawa kaka....amani kwako

mkuu me huwaga mnanfurahishaga tu mnavyo waaproach madogo mpaka wanawaelewa wawabebe..binafsi nilivokuwa mwaka wa kwanza tulikuwa tunakaa room moja na mtu wa BAED. yule jamaa alikuja na godoro toka nje akawa analala sakafuni na godoro lake..na mpaka leo sijui lile godoro alilingzaje mule mabibo mana aliltoa nje...
 
Ikitokea una uwezo wa kununua kitanda...shukuru Mungu kaka....nafasi hyo haikupi nguvu ya kudharau mtu
 
Now u talk like a brother.....ipo hv hata ukiweza kununua kitanda full...huwezi kulala peke ako na huku kuna nduguzo kibao tu wanalala nje kwa wadern kaka.
Udugu ndo imani yetu....maisha ya pale yapo hvo.....hostel hazitoshi and thats it.
Tusamehene tu kwa matusi...ila hata mwenyewe ulivoniattack haikuwa sawa sana...''hv baed sijui mkoje'' haikuwa sawa kaka....amani kwako
ALL IS WELL.......nimekuelewa mkuu....me nimeishi Mabibo pale zamani kidogo labda siku hizi(miaka ya karibuni)...lakini enzi mimi nasoma hakukuwa na cases za kubebana kiviilee....
 
mkuu me huwaga mnanfurahishaga tu mnavyo waaproach madogo mpaka wanawaelewa wawabebe..binafsi nilivokuwa mwaka wa kwanza tulikuwa tunakaa room moja na mtu wa BAED. yule jamaa alikuja na godoro toka nje akawa analala sakafuni na godoro lake..na mpaka leo sijui lile godoro alilingzaje mule mabibo mana aliltoa nje...
huwa wanawapiga sound za hatari aisee....dogo hachomoki kizembe.....tena nasikia huwa wanawa prepare kisaikolojia since wapo form six
 
Ni ukweli usiopingika kwamba bila msaada wa anayeijua UDSM...tena hasa wa course kama yako....unaweza kujikuta anahairisha mwaka ukiwa umekaa chuoni week tano tu...kutegemeana ni nature ya binadamu....hata sie tulibeba so tubebwe tu....maisha yenyewe yako wapi???
 
me kuna jamaa nilikuwa nawajua wanalala pale dinning room za mabibo..walilala mwaka mzima pale
 
Back
Top Bottom