Msichana jasiri katika siasa mwaka 2013

Msichana jasiri katika siasa mwaka 2013

Yaani katika wasicha woote umemuona shoza tu!ujasiri wake ni upi? Kuwakosea adabu viongozi wake,kuwatukana viongozi wa vyama pinzani alikolelewa majukwaani,au kuikosesha ccm ushindi sehemu zote alipo shirikishwa kwenye kampeni?think big ndugu.
 
Ester Wassira
Ester Bulaya
Ester Matiku
Juliana Shonza.
 
Unajitekenya,halafu unacheka mwenyewe!
Yaani Juliana Shonza?Mbowe na Dr Slaa hawana "njaa" kiasi hicho,angekekuwa mwenyekiti wenu ningewaelewa!
 
Mbona hujawataja MAJEMBE Mtela, Brigadier Nyakarungu,Ludo na yule aliyetuibia simu yetu..!? ina maana wao mchango wao hamuutambui!?

Baba V, wewe ni muoga ndo maana unaficha jina lako. Kwa taarifa yako nakusihi uwe na staha kidogo.usirudie tena kunichanganya na masalia. Sijawahi kushare jambo lolote nao.siko upande wao wala sijawahi kuwaunga mkono. Naelewa kuwa wengi mmekumbwa na mihemko na kujiona wana chadema zaidi wakati baadhi hata chama hamkijui.jitokeze kwa jina lako halisi kisha utaje watu kwa majina yao. Acha woga wewe unajiita great thinker
 
Ukihama CHADEMA ni sawa na kutumbukia chooni. Wakumbuke hawa nipe na umaarufu wao siku hizi Mwampamba, Shonza, Kisandu, Kafulila, Kaburu, Shitambala, Madiwani watano wa Arusha, na wengine wengi. Kifupi ukihama CDM niunakoenda huwezipata umaarufu, mkumbuke matata amekuwa kama chizi. Na hicho ndo kinacho muumiza ZZK kuwa baadaye ataendelea kuishi kwa fadhila za Maccm.
 
Umejituma au umetumwa acha kufanya sring doctor na kuandika hisia za ushabiki badala ya hoja zenye masiko mada yako inamsaidia nini mwananchi wa kawaida anayeanza mwaka mpya na bei mpya ya umeme au unazomoka tu
 
Acha kuwa msukule wa mtu hansen,juliana sonza ana mchango gani kwa nchi yetu kiuchumi zaidi ya kutumiwa na mizigo wewe ndio una muhemko wa kisiasa
 
Umejituma au umetumwa acha kufanya sring doctor na kuandika hisia za ushabiki badala ya hoja zenye masiko mada yako inamsaidia nini mwananchi wa kawaida anayeanza mwaka mpya na bei mpya ya umeme au unazomoka tu
 
Baba V, wewe ni muoga ndo maana unaficha jina lako. Kwa taarifa yako nakusihi uwe na staha kidogo.usirudie tena kunichanganya na masalia. Sijawahi kushare jambo lolote nao.siko upande wao wala sijawahi kuwaunga mkono. Naelewa kuwa wengi mmekumbwa na mihemko na kujiona wana chadema zaidi wakati baadhi hata chama hamkijui.jitokeze kwa jina lako halisi kisha utaje watu kwa majina yao. Acha woga wewe unajiita great thinker

Umemsaliti mtu aliyekulea Lwakatare kwa vipande vi5 vya msimabzi kutoka kwa chemba la maji taka?
 
Back
Top Bottom