Selection UDSM 2014/2015

Selection UDSM 2014/2015

we mwenyewe shahidi kuna watu humu hata hawajali muda. ndio maana inno anawaambiaga mia nane maana free mijitu inaropoka tuu. saa nne hii watu tuache kufanya maskolokwinyo nakaa kwenye pc bure tuu kisa imani! hata kuna baadhi ya vitu hitler alikua sawa na havikua dhambi so mm kukukatili sio dhambi.
yeah nimekusoma mzazi......its boring really....
 
Unadhani maisha ni kupanga huko mnapopanga na kununua subwoofer??na kutafuta kimada ukamuhodhi??ma.ta.ko yako
simaanishi hivo ndugu yangu...ninachojaribu ku convey hapa ni kuwa kwanini asinunue kitanda fully...kuliko mambo ya kubebana na vitanda vyenyewe vikwapi???...nimesoma pale najua hali ya vitanda ilivo labda uniambie wamebadili vitanda...lakin ni aibu na sio heshima finalist mzima kubebwa......na hata kama angepanga hayo mengine uliyozungumza ni tabia ya mtu binafsi na hata hostel kama mtu ana tabia hizo mbaya atafanya tu...its all about self control.....na pia matusi si mazuri..umenitukana hapo juu...and for the sake of brotherhood ya social networks sito kureport ila next tym ukirudia matusi yako hayo......u are going DOWN broh
 
kuna watu humu mnataka muangaliziwe darasa zima
kwa upande wang mtu mmoja ntamjibu namba mbili tuu. na si zaid ya hapo.
 
watu wa baed wanakera aisee.....wanakuwaga na mambo ya ajabu ajabu sijui kwa nn aisee

na walivyojaa sasa..unakuta intake ya mwaka wa kwanza tu wanafika buku..yani BAED peke yao wanajaza hall 5 na hall 2..
 
simaanishi hivo ndugu yangu...ninachojaribu ku convey hapa ni kuwa kwanini asinunue kitanda fully...kuliko mambo ya kubebana na vitanda vyenyewe vikwapi???...nimesoma pale najua hali ya vitanda ilivo labda uniambie wamebadili vitanda...lakin ni aibu na sio heshima finalist mzima kubebwa......na hata kama angepanga hayo mengine uliyozungumza ni tabia ya mtu binafsi na hata hostel kama mtu ana tabia hizo mbaya atafanya tu...its all about self control.....na pia matusi si mazuri..umenitukana hapo juu...and for the sake of brotherhood ya social networks sito kureport ila next tym ukirudia matusi yako hayo......u are going DOWN broh

Now u talk like a brother.....ipo hv hata ukiweza kununua kitanda full...huwezi kulala peke ako na huku kuna nduguzo kibao tu wanalala nje kwa wadern kaka.
Udugu ndo imani yetu....maisha ya pale yapo hvo.....hostel hazitoshi and thats it.
Tusamehene tu kwa matusi...ila hata mwenyewe ulivoniattack haikuwa sawa sana...''hv baed sijui mkoje'' haikuwa sawa kaka....amani kwako
 
Back
Top Bottom