wazir alyeishi nje mda mwng kama membe hafai kupewa yadhafa za urais, sina maana hyo bt membe hafai na endapo akapta urais mm nachukua uraia kenya cwez kuja ona kama mkimbiz, mkimpa yule tour(safar za njee) ztakuwa nyng na hko nje hwez jua anachofuata nn nisiongee sana
mm naona lowassa ndo...
najua kabisa wanaomponda lowassa either wana akili vinyu means hawaoni mbali pia wanashabikia tuuu kama vile man u au asernal wenye akil na wasomi watamuunga mkono lowassa, sasa ww kaa huko mtaan piga kelele tuuu bila data
"no data no talk"
huna data kaa kimya.
watimuliwe wote kwan wamefanya bungen ni tanguru la walanguzi na mh jk usipofanya kwl na kuchukua hatua stahiki mnapoteza chama hata kama ni wanchama wenzako timua,bora wafe wachache kuliko kifo cha wengi.
mawazo yako mazuri xanaaa, nakuunga mkono asilimia 0%.bwana we kama umechoka maixha yako ww mwnywe,pia kama unaona una shughul nyng nunua gar ya ko binafsi usitusumbue tafadhali
waooooooo! hakuna kunyongwa wala kuhukumiwa tz babaaa ss ndo tumeshikilia hii nchi week ijayo yupo kitaaa, wee peleka unga sasa ukamatwe kama yatapta hata masaa matatu hujafa
okey mie cna comment, najua wote mlio coment hapo juu mna itikad ya kidini huwez ukaponda matakwa ya dini ya mtu mwngne hata kama ni mpagan yanakuhusu?, mnajifanya mmeiva kwny dini kumbe hamna lolote.fanya mambo ya maendeleo mwombe mungu wako akuxaidie cyo uanze kushabkia udin na hasa nyie watu...
mtakufa nyie si mnunue ya kwenu kama mnapenda starehe? m2 mzma unatamka et una hamu ya kupanda gar that's uncivilized kwan cha ziada n nn kwny hyo magar?
kama juice umeshndwa kununua?,tv si mnazo nyumban mpaka mkaone kwnye gar,magazet nk, wabongo mspende kujtafutia kiama.
hiv inakuaje inamaaana watu wanafanya kaz kwa kukopexha au!
yaaan hailet picha wala haina mantic mfanyakaz kaji2ma mwz mzma kazin alafu mwsho wa mwz acc empty? mbn mawazir mishaar yenu kwa wakat? huuu ni humilation bora achukue gun angiee msitun
pia hyo wazr anaye huska na mishaara wa...
yaaaaan kama hajasoma vile anaongea pumba mda wotee cjui kama ndo mawazir wa tz. mh kabisa ndan ya suti unapanda jukwan na kuongea matusi umbea ushabiki badala ya kufanya mikutano yenye maendeleo kwa wananchi unafanya mikutano ya kipumbavu ndo maana 2nalia kila siku maendeleo mambo kama haya...
kutokuwa na akili we na lema ni kimoja kama una nia ya kuinua jimbo la aruxha mjin unavyo dai ww kwa nini
usingeshirikiana na lema pale unaona ana udhaifu coz naye binadam hawez akawa parfect.
hata we pia unajiona upo fit bt unajidanganya na unadanga wananchi we uchu wa uongoz
ungekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.