Je hizi habari zina ukweli au watu wameshiba wali??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,182
2,000
Habari yakwanza!!
  • MWINGULU NCHEMBA NA UWAZIRI WA MAMBO YA NDANI.

    Hizi fununu kama ni za ukweli basi vibaka na majambazi watakoma ubishi kwa rais kikwete kumteuwa mwingulu nchemba kuwa waziri wa mambo ya ndani.

    Habari zingine zinasema, Chadema kupinga uteuzi wa Nchemba umoja wa mataifa kutokana na itikadi yake na misimamo yake. - in Magu Kahangara.
Habari ya pili!
  • MAWAZILI WAPYA HAWA HAPA. (MAKAMBA UTALII ( NCHEMBA MAMBO YA NDAN ( MIGIRO MAMBO YA NNJE (MEMBE ULINZI ) MEGH MIFUGO. (Dr maji malefu kada CCM)
Source:Tanuru la Fikra Facebook.com/tanuri la fikra
Mwenye habari kamili atujuze
 

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,288
1,195
Mwigulu akiwa waziri ni kuichimbia kaburi ccm.. hana hekima, hana busara wala hoja!

itakuwa bora Lawrence Masha.. Sasa hivi Mwigulu anafanya mikutano kanda ya ziwa, hana hoja, muda wake wote anazungumzia Mbowe na Slaa tena kwa kashfa na matusi ya nguoni.. Akitoka hapo ataanza kumtetea Zito kwamba ameonewa..

Nilikuwa Shinyanga leo, na kuhudhuria mkutano wake alioufanya viwanja vya mahakama ya mwanzo.. nimerekodi mkutano wote, ambao kila sehemu anatembea na kijana aliyemwagiwa tindikali igunga, ambapo humpandisha jukwaani na kumruhusu kijana aseme nani wahusika.. kijana husema chadema..

kesho ntaanzisha thread kuujadili huo mkutano, pamoja na mwingine utakaofanyika kesho hyo hyo uwanja wa stendi, mita 300 toka ulipofanyika wa leo.
 

ANT JAY

Member
Dec 31, 2013
34
0
yaaaaan kama hajasoma vile anaongea pumba mda wotee cjui kama ndo mawazir wa tz. mh kabisa ndan ya suti unapanda jukwan na kuongea matusi umbea ushabiki badala ya kufanya mikutano yenye maendeleo kwa wananchi unafanya mikutano ya kipumbavu ndo maana 2nalia kila siku maendeleo mambo kama haya!

lait ningepewa urais kwa mda wa mwez moja 2 nadhan kuna wa2 wangeingia ktanzin wenywe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom