Mwenye shibe hamjui mwenye njaa!
huyo jidodo mpuuzi kweli au naye ndo wa buku 7 Lumumba hajui taasisi kibao za serikali bado hazijapata mishahara ye analegeza domo kwakuwa ye keshalipwa ------- mkubwa
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa!
Jamani hii serikali imefilisika kiasi cha kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wa umma?
Leo tarehe 30/12/2013 hakuna mishahara!
Nini kinaendekea katika hili?
Jamani hii serikali imefilisika kiasi cha kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wa umma?
Leo tarehe 30/12/2013 hakuna mishahara!
Nini kinaendekea katika hili?
Arusha Wilaya gani? Sio wilaya zote zina CRDB. Kama hiyo taasisi iko makao makuu ya mkoa hapo sawa.
PGSS na PUTS ndiyo nini hiki?No salary mpaka sasa saa 8:27 pm na niko CRDB Kwa upande wa SU tunalia hasa hasa wale wa PGSS na PUTS ndo hakieleweki.
My wife please take full responsibility of the family, my pocket is empty.
mkuu unaishi wapi, mishahara ishatoka tangia tarehe 24,December
Vipi kamanda, kimeeleweka ama bado maana 2013 ndio tunaiaga hivyo
Sina imani na JK kabisa!Mishahala ikipanda walivyojipangia wao wananchi mtakufa kwa njaa nyinyi!!
Mkuu mpaka asubuhi hii account haisomi!
Kwakweli wametutenda vibaya sana!