TaiJike
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 1,482
- 669
AsprinMkuu Daudi1 ahsante kwa mwaliko.
Wavulana wa siku hizi kuna tatizo sehemu. Wamerahisishiwa mambo na teknolojia lakini inashangaza wanashindwa kuitumia ipasavyo.
Najaribu kutafakari enzi zetu tukitongoza kwa kupitia SLP na kama vipi kukatana mitama vichochoroni, hawa vijana si wangeishia kupiga punyeto?
Vijana wanapaswa kutoa uso wa aibu kwa wadada. Mwanamke ukimtokea kijasiri yeye ndo anakuwa na aibu. Na unapoonyesha ujasiri ndo mwanamke anapokukubali zaidi.
Vinginevyo hivi vibinti virembo vitaendelea kuangukia kwenye mikono yetu wakongwe kwa kuwa wavulana wameshindwa kazi.
Acheni kulialia mitandaoni wavulana, mabinti wanawacheka.
Ngoja nikazimue kwanza.
Nimepita kukusalimia tu Babu yao, siyo pahala pangu.
Last edited by a moderator: