Wizara ya Habari,sayansi na Tekinilojia viwe pamoja na Wizara ya Mali asili na Utamaduni viwe pamoja ikibidi Wizara mpya ya Utamaduni iundwe kwani Utamaduni ni Kama umepotea sasa Maadili Hakuna Vijana wa kiume kike Wanavaa hovyo hovyo(milegezo) Hakuna kiongozi anayethubutu kukemea hili wanaogopa Masela . Mh Rais hakika Ukitenganisha Michezo na Mambo mengine Michezo itakuwa kwa kasi sana ni Vyema Michezo ikwa peke yake Kama ilivyo Wizara ya Fedha .
Huyo Lembeli ndio nani!!!!!!!!!!
Huyo Lembeli ni Dr mwenye kuyachinja matenda uovu bila kujali. Anawapa watu Makavu live. Ana mvi za ukubwani na hekima pia.
Huyo Lembeli ndio nani!!!!!!!!!!
Best upo kote kote kwa ZZK nakuona mchangiaji mzuri sana yule jamaa unampeleka vizuri,emu twende sasa pande ya huku..
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
huku nilikua simjui Lembeli ila sasa nimemfaham....yule kanianza
Mwaka mpya na mambo mapya! Mkuu wa nchi kashindwa kuiweka nchi hii kwenye mstari mnyofu.
Ni yule mzee aliyewasilisha taarifa ya kamati ndogo kuhusiana na Operasheni Tokomeza..
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
asante kwa hii taarifa Mkuu...ndio maana wamemlaumu kuwa kawachomea
mbona mimi sijaitwa dar na ni waziri?
Kama kipindi cha Mwakyembe na Richmonduli..
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
bahati mbaya wewe hukuwemo kwenye hiyo list, umejipenyeza tu!sema umekukuta hauna hela
wengine ulitukuta tuna hela......
Huyo Lembeli ndio nani!!!!!!!!!!