Nitapambana na mhe Godbless Lema 2015

Nitapambana na mhe Godbless Lema 2015

huo ni mtazamo tu!

Nguvu ya LEMA inatoka kwa watu, mmoja wapo ni mimi,

"BELIEF CREATES THE ACTUAL FACT"

Ndiyo ni mtazamo na mtazamo mwingine uzoefu wenyewe ni wa kujulikana kuwa ulijaribu kushindana! siasa ni upepo labda utakugeukia wewe ila sidhani kama ni ndani ya miaka miwili! Jiandae kushindwa kisaikolojia!
 
Wewe chezea lema weeeeeeeeeee jimbo lake hili mpaka azeeke kajipange upya
 
Arusha imebadilika kiasi kikubwa sana na wananchi wanakubali nani anakataa aseme wapi Lema kachemka na ajenge ho
 
Wewe chezea lema weeeeeeeeeee jimbo lake hili mpaka azeeke kajipange upya

nimejipanga vilivyo!

Nafahamu ni wapi nguvu yake ipo,

na ni wapi alipo dhaifu,

kwa hiyo najua pa kumpata!

"politic-s is the game of chance"
 
Ndugu wana ARUSHA!

Natangaza rasmi kuwa nitagombea ubunge wa jimbo la ARUSHA MJINI 2015 kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),

huu ni uamuzi wangu binafsi na wa kidemokrasia kwa kuzingatia misingi ya sheria na katiba ya nchi pamoja na ya chama changu,

ninaamini ninazo hoja za msingi, uwezo na kipaji cha kipekee katika kutimiza azma yangu ya kuwatumikia wana Arusha na Taifa kwa ujumla.

Ninaamini ya kuwa, yapo mambo ya msingi sana ambayo yanahitaji uwepo wangu wa moja kwa moja katika kuyafanya na kuyasimamia mwenyewe kwani mtu mwingine hawezi kufanya kwa weledi kama nilivyokusudia mimi.

Natambua mengi mema aliyoyafaya na anayoyafanya Mhe LEMA, lakini pia ikumbukwe uwezo wetu wa kufikiri ni tofauti, anayoyafikiri Mhe LEMA inaweza isiwe ndivyo ninayofikiri mimi,

*NATAMANI KUONA MATUMAINI MAPYA KATIKA ARUSHA NA TAIFA LANGU,

*NATAMANI KUONA FIKRA MPYA NA ZENYE UHAI KATIKA NCHI,

*NATAMANI KIZAZI CHENYE MITAZAMO CHANYA KWA KUMAANISHA,

*NATAMANI KUONA MATOKEO MAPYA NA MATUNDA MEMA KATIKA VIWANGO VYA JUU ZAIDI KWA MAENDELEO YA ARUSHA NA TAIFA ZIMA,

NB: CHANGAMOTO HAI NA ZENYE MANUFAA HULETWA NA KIZAZI KINACHOFIKIRI SAWASAWA, mimi ni mmoja wapo.

Natambua ugumu uliopo katika safari hii hasa ikizingatiwa kuwa Mhe Lema ana wafuasi wengi, jambo hili ninanipa fursa nzuri ya kujiandaa vyema kama ilivyosemwa "BELIEF CREATES THE ACTUAL FACT" ALBERT EINSTEIN.

wenu
MWANAWAVITTO

Mkuu unagombea Ubunge wa Arusha Mjini Jf?
Mwanawavitto kugombea ni kitu kingine, na kuchaguliwa ni kitu kingine.
 
Uchu wa madalaka huna kazi za kufanya kanini, usishilikiane na mhe. Lema kiifikisha arusha unapopataka kaa wewe siyo gamba.

Hivi kwani kwani haya majimbo yana wenyewe moja kwa moja? Kama ni hivyo nafasi ya democrasia Kama mfano mzuri kwa ngazi ya Chama mbona itakuwa haitekelezwi?ama ni hisia za ushabiki katika mitandao ya kijamii ndio zinafanya kuwepo na njia za mkato za kuharalisha pasipo democrasia ya kweli?...Jamaa yupo sawa acha afanye ,issue kubwa hapa ni kuwatumia ila wa Tanzania.
 
...kama unania ya kuandika jina kwenye medani za siasa huo ni uamuzi mzuri,lakini kama unania ya kuwatumikia watu kwa nafasi ya ubunge basi utangoja sana kwa lema...
 
...kama unania ya kuandika jina kwenye medani za siasa huo ni uamuzi mzuri,lakini kama unania ya kuwatumikia watu kwa nafasi ya ubunge basi utangoja sana kwa lema...

Acha kukariri ,anything can happen at any time ,Jamaa Kama anahisi anaweza acha afanye
 
Acha kukariri ,anything can happen at any time ,Jamaa Kama anahisi anaweza acha afanye

...bwanamdogo facts hazikaririwa they are there to stay, utake usitake, unaweza sema ngoja niguse moto leo unaweza ukawa wa baridi, kisa anything can happen,acha mazoea....
 
...bwanamdogo facts hazikaririwa they are there to stay, utake usitake, unaweza sema ngoja niguse moto leo unaweza ukawa wa baridi, kisa anything can happen,acha mazoea....

Kaka,nadhani hata hujui nini unaongea ,which facts are there to stay?...Facts are free of any value Kama ulikuwa hujui chukua hiyo...hapa I disagree na Judgement yako ya kulazimisha hisia zako juu ya jambo ziwe kweli.!!
 
kutokuwa na akili we na lema ni kimoja kama una nia ya kuinua jimbo la aruxha mjin unavyo dai ww kwa nini
usingeshirikiana na lema pale unaona ana udhaifu coz naye binadam hawez akawa parfect.
hata we pia unajiona upo fit bt unajidanganya na unadanga wananchi we uchu wa uongoz
ungekuwa kiongoz bora ungemfuata lema umwambie mh hapa fanya hv, hapa kinahtajka hk hapo sawa
we ukixema unapambanana na lema umejila broo
we gombea tu mwnykt wa kitongoji au baloz wa nyumba kumi ucjisumbueee
 
Back
Top Bottom