picha yenyewe inatisha hata ya hayo mayai yanavyoonekana hata huwezi kuyanunua, cheki humohttp://www.mwananchi.co.tz/mwananchi-jumapili/41-biashara-mwananchi-jumapili/20576-mayai-feki-yatua-dar
Acha maneno yako ya kijinga, na miaka hamsini tuliotawaliwa na manaokojoa mmesimama mmefanya nini zaidi ya kujithalilisha tu kwa hawa wenye ngozi nyeupe. Lol mnahongwa hadi suti. Take back ur words!
THE INSTITUTION OF ENGINEERS TANZANIAMKUTANO WA KUJADILI TATIZO LA UMEME NCHINI TANZANIA:MAHALI: KARIMJEE HALLSIKU/TAREHE: JUMAMOSI, 30/07/2011MUDA: SAA 4 ASUBUHI – SAA 6 MCHANAMADA: UFUMBUZI WA KIHANDISI WA KUTATUA TATIZO LA UMEME NCHINI TANZANIAWATOA MADA: (1) ENG. DR. M.I. MAINGU(2)...
its true kabisa nimemsikia mwenyewe anhojiwa na wakati anawauwa anawaweka kwenye gunia na anawafunga miguu yote na kuwa waya anawapiga nao, ila yeye hali wala familia yake yeye na mkewe na watoto wanne hawajui na hapeleki hata nyumbani hiyo mishikaki ma anaingiza 25,000 to 30000 Tshs per day...
kujiajiri ndio suluhisho ila inahitaji someone to overcome fear kwanza maana wengi wetu tunaogopa mwanzo zile challenges zinakuwa nyingi sana hadi watu tunaishia kwenda huku na huku kutafuta kuingia kwenye pay roll ya mtu wakati tungetuliza vichwa na kuanza vya kwetu na sisi tungeajiri wenzetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.