The Billionaires of Africa

Forbes haiwezi ku-list watu ambao hawajapata hiyo hela Ki-halali..watakuwa wanaifundisha nini Jamii?
Na kumbuka kwamba Billion Dollars ni kama Trillioni ya kwetu..... the last billionaires in the world kwenye list katika forbes wameshikana wote katika namba 1400 wote wana kiasi sawa yaani Trillioni Moja.. kama Hao mliowataja wamefika hiko kiwango na wanastahili kuwa listed, basi inabidi waweke biashara zao zote wazi, kipato chao chote kichunguzwe..,..na hao mabilionea mnaowataja mambo yao sio halali ndo mana hata siku moja hawawezi kuingia in dat list...cjui Kuhusu Mengi....
 
hapo nimekusoma. Hata Mh. Rostam Aziz aliwahi kuliambia gazeti moja (Tanzania Daima) kuwa Tsh 185 Billion ilikuwa ni mapato yake ya miezi 3 kutokana na biashara zake, sasa hata asionekane hapa!!??? Pia fikiria mtu kama aliyekuwa rais wa Misri Bw. Mubarak, US $ 69B mbona hajawa listed! Maana Mzee Kamuzu Banda aliwahi kusema kuwa "PESA NI PESA HATA IKITOKA KWA SHETANI", kwa maana hiyo hata kama ni za rushwa ni utajiri tu so long as mtu anazimiliki. ...au ni vinginevyo!!??

mzee hizo billion ni interms of USD not TZS so 180billion haifiki hata 1b in USD! jifunze conversion unit!
 
i think we are missing a point, the second man called oppernhaem is actually jew! how does he get into the african list?
 
Wengi wa bongo wanaogopa kusema walicho nacho si wanakwepaga kodi!!?

Wanasemaga walikozipatia sema kwa kujificha ficha,

mfano Mengi inasemekana aliokota gunia la hela miaka hiyooo... cjui kama kuna ukweli.

Manji Yusuph anadai alirithi from ndugu zake waishio marekani.....

Rostam sifahamu kapatia wapi ila nahisi ni MIKATABA FEKI aliyoiingiza nchi yetu.
 
Back
Top Bottom