Siku hizi Elimu kwa namna moja au ingine imekuwa rahisi kwa maana ya upatikanaji wa materials,Walimu wengi, technology imekua,Vitabu ni vingi lakini cha msingi kabisa watoto wa siku hizi uelewa wao ni mzuri kuliko zamani
Tafiti zinaonesha kuwa watoto wengi waliozaliwa mwaka 90 kurudi nyuma...
Oya mzee wa kazi Imani yangu inaniambia Kuna siku lazima ukute jina lako kwenye placement...!
Miongoni mwa watu wachache wenye mentality za kiume nawewe umo, kitendo cha kufahamu kuwa hizi kazi zinapambaniwa na zina unshindani basi lazima ujue kuwa sio lazima kupata wewe ila unaheshimu mwingine...
Kwa kawaida pesa ya likizo hulipwa na Mkurugenzi kutoka kwenye chanzo cha Idara husika, inaweza ikatoka OC au OS inategemea na Mkuu wako wa Idara ataamua kutumia kifungu gani kulingama na bajeti aliyobakiwa nayo
Idara waga inakuwa na vifungu vingi sana vya kulipa watumishi wake, inategemea na...
Ni ngumu kufunga safari hadi Sua kwenda kuuliza tu eti kwanini waliacha kufuga Nguruwe ilhali kuna taasisi na watu binafsi wanafuga Nguruwe na wanaongezeka kila kukicha
Kwa faida ya wengi kwanini wewe mwenyewe unaejua kwanini wameacha usitujuze tu ili kuepusha usumbufu lakini pia kusaidia watu...
Shida ni kwamba kwa sasa timu yetu imepoteza balance hasa kwenye kupata magoli, tulikuwa tunafunga magoli aima zote yani kwenye set piece na open play
Ila tangu Gabriel apate majeruhi hatujafunga tena goli la set piece na hii ni wazi kuwa Kuna nguzo imepungua kwa sasa katika timu yeti
Na...
Hii mechi ina maana kubwa sana, kama tutashinda itakuwa ni mwendelezo wa marekebisho katika zile timu ambazo zilitunyima ubingwa msimu wa 23
Zikiwemo Fulham ambayo tumeshinda, west ham ambayo tumeshinda na engine ni hii Aston villa, kwahiyo kama tutashinda itakuwa tumepata points 9 katika mechi...
Ushindi Ni wish ya kila Arsenal fan, ila ukweli ni kwamba kila mmoja anajua haitakuwa rahisi, na hasa ule mvurugiko wa backline yetu imefanya timu ikose balance kiaina
Hii game tukipata ata suluhu TU inatosha, maana Unai waga ni kama vile bado ana bifu na Arsenal, huwa anachukulia very personal
Wakati sisi tunaomba suluhu na City nae apate suluhu kwenye game yake na Sunderland lasivyo maji yatazidi Unga
Wewe unachanganya nyakati, wakati Arsenal wanamtaka Caicedo ilikuwa ni Dirisha dogo ndio wakatuma offa mara mbili Brighton wakagoma na kusema hawamuuzi
ilipofika dirisha kubwa vita ikawa ni Chelsea na Liverpool, wakati huo Arsenal yeye anachuana na Man City katika kupata Saini ya Decline Rice...
Arsenal katika Dirisha dogo la January 2023 walikutana na Kambi ya caicedo pamoja na caicedo mwenyewe na kumalizana nao kila kitu kuhusu personal term's
Bahati mbaya Brighton wakajua na hawakupendezewa na tabia ya Arsenal kukutana na mchezaji wao, Arsenal wakapeleka dau la kwanza £60 Brighton...
Arsenal katika Dirisha dogo la January 2023 walikutana na Kambi ya caicedo pamoja na caicedo mwenyewe na kumalizana nao kila kitu kuhusu personal term's
Bahati mbaya Brighton wakajua na hawakupendezewa na tabia ya Arsenal kukutana na mchezaji wao, Arsenal wakapeleka dau la kwanza £60 Brighton...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.