Oya mzee wa kazi Imani yangu inaniambia Kuna siku lazima ukute jina lako kwenye placement...!
Miongoni mwa watu wachache wenye mentality za kiume nawewe umo, kitendo cha kufahamu kuwa hizi kazi zinapambaniwa na zina unshindani basi lazima ujue kuwa sio lazima kupata wewe ila unaheshimu mwingine aliepata
Kuna kasumba ya hovyo ya vijana wengi wanao omba kazi, wanahisi kama vile wao ndio wanastahili kupata na sio wengine, ukifikiria kwa Akili hizi ni ubinafsi wa hali ya juu na kukosea heshima wapambanaji wengine ambao unakutana nao war zone, kwenye hizi interview tunakutana na watu ambao walijiandaa kweli kweli kuliko vile watu tunavyofikiria
Mfumo ni ule ule ni kuhakikisha unakuwa competent katika field yako kuliko wengine kisha kila kazi inayotoka na unaona unafit lazima uombe,ukipata nafasi ya kuitwa interview pambana unavoweza uingie Oral huo ndio mwanzo wa kupata kazi, nimesoma comments zako nyingi na nimeona uko na very strong mindset ya kuweza kukufanya upate Ajira ispokuwa umekosa bahati you
Anyway, Mimi nilipata kazi 2023 kwa interview yangu ya kwanza tu nilipofanikiwa kuingia Oral, kwa sababu sometimes inatokeaga tu pale ambapo Nature inaamua kukubles, ila haina maana kwamba Mimi/sisi Huwa tuna Akili sana, ispokuwa Maandalizi mazuri yalikutana na Bahati.....! All the best champ.