Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 32,772
- 94,036
Chelsea kushika nafasi ya pili (kwa muda) wanajiona nao ni team bora eeChelsea wasogeza mabango ya matangazo karibu na uwanja ili kuzuia mipira mirefu ya kurusha ya Arsenal
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Uingereza, Chelsea wamesogeza mabango ya matangazo karibu zaidi na uwanja ili kupunguza nafasi ya Arsenal kurusha mipira mirefu (long throws) kwenye mechi ya wikiendi hii.
View attachment 3509244
