HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakubwa kuna watu wali-itwa kazini 31/12/2025 kada ya "Tutorial Assistant (ICT), ila nilipofuatilia wato hao 2 hawakuwepo kwenye orodha ya wale waliohudhuria waliofanya "oral interview". Hii imakaaje wakuu, mbona ni kama wamepitia mlango wa NYUMA asee.
Hao walikuwa kwenye database, walifanya interview ya nyuma.
 
Wakubwa kuna watu wali-itwa kazini 31/12/2025 kada ya "Tutorial Assistant (ICT), ila nilipofuatilia wato hao 2 hawakuwepo kwenye orodha ya wale waliohudhuria waliofanya "oral interview". Hii imakaaje wakuu, mbona ni kama wamepitia mlango wa NYUMA asee.
Karibu Tanzania
 
Hongereni wapambanaji wote walio kwenye foleni na ambao washatoka kwenye foleni..

Siri ya kufanikiwa ni kutokata tamaa.

Hapa kuna stress za kupambania nafasi za mkate, ukipata hii nafasi unahamia kwenye stress za upande wa pili(kwenye mkate).

Kote huko kuna hitaji kupambana na uvumilivu mkubwa bila kukata tamaa ili upate matokeo unayoyataka.

NB: Hakikisha unaomba kila nafasi zinapotangazwa hata kama ni nafasi 1, hakikisha unahudhuria saili zote unazoitwa, hakikisha unapambana hadi ufike oral.
 
Hii ishu ya kufika oral na kuwa database naona kwenye kada yangu haifanyi kazi.

Mwaka jana October tulikuwa kama 20 hv oral Ila walitaka watatu.

December mwanzoni mwaka jana wakatangaza ile ile post wakihitaji watu wa5

December mwishoni wakatoa placement ya Ile oral ya October wale wale watatu

Kwa maana hy hakuna ambaye alikuwa database ndo mana wametangaza kutaka wengine ndani ya miezi miwili.
 
Tangu mwaka 2024 nilipomaliza chuo nilisema humu kwamba kwa jinsi nilivomfatiliaj mzuri wa huu uzi toka mwaka 2021 naanza chuo sitakaa sana mtaani hasa kwa kada zetu wanazoajir watu wengi

Na kwel nimeweka jitihada na Mungu kajibu

Nlikua kila siku namwambia bi mkubwa nahitaji nafas moja tu nikufurushe na kwel sijamuangusha na dua zake kwangu zimejibu one attempt one goal

JF ni chuo tosha, ashukuriwe Mungu

Ule uzi wa Subaru naomba muutag na mshahara wa January mbona unachelewa
 
Unaanza tambo sio
 
Hahaha saiv unakua active member wa uzi wa mshahara wa January mbona unachelewa
 
Back
Top Bottom