Kitengo cha Call for interview kimelala, wengine tuna received tu.Pdf zinatemwa kama ute asaiv
Kitengo cha Call for interview kimelala, wengine tuna received tu.
Huko kuzuri mzee MwenzanguAise, huku kuna maisha eh
Tutangoja mpk tunyookeeBaada ya hizi back to back placement nahis kuna kipnd cha ukame kitapita hapo kati
Hongera sana MkuuJAMANI MIMI KAMA NYAUBIKRA NASEMA HIVIIIIII......
NIMELAMBA ASALI WAKUUU
🤸🙏🥳🥳🥳🥳
Ngoja narudi mana kila mda naingia portal kukagua kama ni kweli au vipi au ni michezo tu😊😊😊😊
JAMANI MIMI KAMA NYAUBIKRA NASEMA HIVIIIIII......
NIMELAMBA ASALI WAKUUU
🤸🙏🥳🥳🥳🥳
Ngoja narudi mana kila mda naingia portal kukagua kama ni kweli au vipi au ni michezo tu😊😊😊😊
Hongera sana!JAMANI MIMI KAMA NYAUBIKRA NASEMA HIVIIIIII......
NIMELAMBA ASALI WAKUUU
🤸🙏🥳🥳🥳🥳
Ngoja narudi mana kila mda naingia portal kukagua kama ni kweli au vipi au ni michezo tu😊😊😊😊
Hongera sana MkuuJAMANI MIMI KAMA NYAUBIKRA NASEMA HIVIIIIII......
NIMELAMBA ASALI WAKUUU
🤸🙏🥳🥳🥳🥳
Ngoja narudi mana kila mda naingia portal kukagua kama ni kweli au vipi au ni michezo tu😊😊😊😊
Hatimae na Mimi pia nmelambishwa asali radar inasoma tabora,😎😎😁😁,
Mnaosubiri msikate tamaa hata siku moja,mnaojipanga kwa interview nawatakia kila la kheri,na mnaosoma nawatakia masomo mema, ipo siku na wewe utakuja kuandika nilichokiandika hapa😎😎✊✊✊🥰
Asante sana Mkuu,wacha twende tukakiwashe sawa sawaHongera sana Mkuu.
Kaitumikie Vyema Jamhuri Ya Muungano.
Karibu kulitumikia taifaHatimae na Mimi pia nmelambishwa asali radar inasoma tabora,😎😎😁😁,
Mnaosubiri msikate tamaa hata siku moja,mnaojipanga kwa interview nawatakia kila la kheri,na mnaosoma nawatakia masomo mema, ipo siku na wewe utakuja kuandika nilichokiandika hapa😎😎✊✊✊🥰
Shukrani sana mkuuKaribu kulitumikia taifa
Noma sana Tabora home land yangu hiyo.Hatimae na Mimi pia nmelambishwa asali radar inasoma tabora,😎😎😁😁,