Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Eze alionekana ule muda anatoka ndo tukagundua kumbe alikuwepo😁
Hawa viazi wana wachezaji wa kawaida ila wao sasa wanaona wana wachezaji wa maana!! Utaambiwa Eze ni weldi klasii!!!! unabaki unashangaa! hawa zimetimia kweli?

Huyo mchele, kapotezwa na James pale kati ambae ile sio namba yake halisi, sasa sijui bado wataendelea kumfananisha james na yule takataka timbalend?! Kama bado watakua na vicha vigumu. Sasa inabidi wahamie kwa james na Mchele. Na huko bado juzi mchele kalambishwa sana nyasi.
 
ManCity huyo hapo kiunoni kwenu.
Title race ishakuwa ngumu hii.
Hii draw vs Sunderland na Chelsea , zitawaponza.
PEP ni mtu asiye na huruma na anaamini huruma sio malezi.
 
ManCity huyo hapo kiunoni kwenu.
Title race ishakuwa ngumu hii.
Hii draw vs Sunderland na Chelsea , zitawaponza.
PEP ni mtu asiye na huruma na anaamini huruma sio malezi.
Kweli kabisa kwa akili yako timamu unamchukulia serious Arsenal Leo yenyewe anapoteza point
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁anapumuliwa kisogoni tayari christmas ngumu nyie

Hii ndio timu ya kwanza kukaa kileleni christmas na ikakosa ubingwa
 
Haiwezekani big four wote tushinde leo. Inabidi mmoja au wawili wapotee
Maresca Huwa sijui anashida gani kamuanzisha Tosin beki wa ovyo kabisa huwa anapenda kufanya unnecessary line up kwenye hizi team ndogo Gusto, Fofana na James wote wamepumzishwa
 
Bahati na makombe ni ndugu.

Defense yote inakaribia kua uchi kwa injuries
 
Maresca Huwa sijui anashida gani kamuanzisha Tosin beki wa ovyo kabisa huwa anapenda kufanya unnecessary line up kwenye hizi team ndogo Gusto, Fofana na James wote wamepumzishwa
Notice kwamba nimeandika hivyo hata mechi yenu haijaanza.

Mlikamia game na Arsenal. On paper hii mechi inatakiwa mshinde
 
Wiki mbili zilizopita walianza kusema wana defense nzuri na kipa wao ni mzuri ndiyo sababu wana clean sheets 6 na Arsenal ina 7.

Hizi kelele hautazisikia kwa sasa
Huu ndio mwanzo wa kupotea kabisa. Jumamosi wana Bournemouth away. Hapa ndio watafutika kwenye mbio za ubingwa
 
Aston Villa wananipa mawazo sana, na hizi injuries kule nyuma, tunahitaji outstanding performance kutoka kwa Arsenal siku hiyo.
Hii game tukipata ata suluhu TU inatosha, maana Unai waga ni kama vile bado ana bifu na Arsenal, huwa anachukulia very personal

Wakati sisi tunaomba suluhu na City nae apate suluhu kwenye game yake na Sunderland lasivyo maji yatazidi Unga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom