Natafuta kazi ya matibabu kwa wanyama

Natafuta kazi ya matibabu kwa wanyama

mchau

Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
89
Reaction score
95
Habari za muda huu,
Kwa majina yangu naitwa gilliard erasto nina diploma in animal health and production nipo mbele yenu natafuta kazi kwenye mashamba ya mifugo, kwenye agrovet section ya ambulatory service.kiufupi Nina experience juu ya matibabu kwa wanyama .kwa anayehitaji tuwasiliane kwa number
0674740836
0792263640
 
Ngoja nikupe ushauri kidogo

Tafuta kata ujitolee kabla ya kufanya hivyo andika barua ya kuomba kazi ya kujitolea ipeleke kwa mkurugenzi wa wilaya ataipitisha then ata kupangia kata ya kwenda kufanya kazi huko utapokelewa na afisa mtendaji na atakupangia majukumu ya kufanya.
 
Angalia tangazo la ajira la magereza tz wanahitaji watu wenye sifa kama yako pia!!
 
Ushauri Tu.

Kama una mtaji hata wa laki5 Hadi 1m
Nenda vijiji vya wafugaji Kwa wingi.

Kisha panga room Yako Kisha jitambulishe Kwa mwenyekiti wa Kijiji na mtandaji.

Baada ya hapo watembelee wafugaji wape Elimu Bure zungatia unapenda Kwa mfugaji nenda na mwenyekiti awe wa mtaa wa Kijiji.

Ukifika toa Elimu Yako Bure kabisa Kisha wahakikishie upo kuwasaidia Bure kabisa na utokapo waachir no ya simu.

Baada ya hapo fungua kaduka hata kama ni kadogo ka dawa muhimu tu za mifugo.

Mkuu wakishakijua utauza sana na utawapiga Hela sana maana watajua wewe upo tiyari kufika shambani muda wowote.


Tarajia kupata nafaka Bure maziwa Bure kama ni mkulima utalimiwa Bure pamoja na mashamba utapewa Bure!


Kazi hii itakufaa kama una pikipiki au baiskeli kulingana na sehemu utakayo enda.


Ajira utakayoipata yawezekana malipo yakawa si zaidi ya 300k je itakutosha?

Ukijiajiri Kwa mfumo huo hata Kwa mwezi ulipata laki2 Bado unafaidi na tegemea kujijengea jina kubwa mno hapo katani.
 
Habari za muda huu,
Kwa majina yangu naitwa gilliard erasto nina diploma in animal health and production nipo mbele yenu natafuta kazi kwenye mashamba ya mifugo, kwenye agrovet section ya ambulatory service.kiufupi Nina experience juu ya matibabu kwa wanyama .kwa anayehitaji tuwasiliane kwa number
0674740836
0792263640
Upo mkoa gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom