Recent content by Andy Black

  1. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Shujaa Magufuli walikuwa na Sura za Mabush Stars ila hawa wa sasa ni Born Town akina Bob Mazishi!

    Mimi namkumbuka Mapung'o toka Bush Star, hatari sana.
  2. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Majina ya Interview Kwenye Web ya Utumishi Yanakaa Sehemu Gani Wakuu...?

    Uwe unapitia akaunti yako uliyoifungua kwa ajili ya kufanya maombi, huwa wanaweka taarifa za kuitwa na tarehe ya kufanyiwa usahili katika akaunti yako. Na ukitaka pia kuona majina ya ujumla basi fungua au peruzi tovuti ya Ajira Portal ukishaifungua utaona maelekezo tu. Karibu.
  3. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isihamishie Makao Makuu ya nchi Moshi?

    Ncha Kali, weeee pata shurubati hapo ulipo utalipiwaaa Kwaaakwaaakwaaa! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Huendi Moshi?

    Naweka oda ya mbege kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Kutokwa udenda

    Penda kupiga mswaki au kusafisha kinywa chako kabla ya kulala hilo tatizo litakoma ndugu yangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye degree anapoenda kujifunza kazi ya waliokosa Elimu ni ujumbe gani tunapata kuhusu Elimu yetu?

    Tatizo ni siasa kwenye elimu. Kikubwa vijana tukomae na maisha hivyo hivyo kibishi tusijihusishe na siasa kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Hivi neno "kutuzi" lina maana gani?

    Hivi neno "kutuzi" lina maana gani? Je, chanzo chake ni kipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke mwema

    Kuwa mkweli na muaminifu ni kazi ila naamini yupo mtu sahihi wa kufanana nae. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke mwema

    Nashukuru kuna jambo nimejifunza, ila ninaamini katika kweli. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Usikae kusubiria kazi yenye mshahara mkubwa

    Asante sana na ubarikiwe. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke mwema

    Je, ningekuwa nina kazi baada ya kumpata mke nikapoteza kazi. Ni sahihi mke kunikimbia au avumilie? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke mwema

    Nina hitaji mke wa kufanya maisha nae. "Wale wanaoachana kwenye ndoa na wamekula kiapo kuwa wataishi kwenye shida na raha mpaka kifo kitakapo watenganisha lakini waliowengi wanaachana wakati wa shida na hakuna anayevumilia". Sasa hapo walikuwa wanamdanganya nani kati ya aliyewafungisha ndoa...
  13. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Usikae kusubiria kazi yenye mshahara mkubwa

    Tusaidiane jamani kimawazo, mimi nahitaji hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke mwema

    Thanks a lot my brother, I get your point. Be blessed. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Andy Black

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke mwema

    Uwezo wa kuhudumia ninao. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom