Mawaziri wa Shujaa Magufuli walikuwa na Sura za Mabush Stars ila hawa wa sasa ni Born Town akina Bob Mazishi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Daudi Mchambuzi ukiwa hapo Machame nadhani unakikumbuka kile kikosi hatari cha Bush Stars chini ya team captain Mzee Meko na golikipa Madenge.

Katikati unawakuta akina Sukununu, Kipepe, Kifimbo cheza, Betina, Baba Madenge, Sokomoko nk.

Wale Born Town kama kawaida team captain Bob Mazishi, pale Kati utawakuta akina Ndumilakuwili, Pimbi, Lodi Lofa, Zena nk.

Bwashee Daudi Mchambuzi ile gemu ni Sisi wazee tu ndio tunaweza kuiconnect na hizi siasa zetu

Jumaa kareem!
 
Daudi Mchambuzi ukiwa hapo Machame nadhani unakikumbuka kile kikosi hatari cha Bush Stars chini ya team captain Mzee Meko na golikipa Madenge

Katikati unawakuta akina Sukununu, Kipepe, Kifimbo cheza, Betina, Baba Madenge, Sokomoko nk

Wale Born Town kama kawaida team captain Bob Mazishi, pale Kati utawakuta akina Ndumilakuwili, Pimbi, Lodi Lofa, Zena nk nk

Mtunzi wa hii kitu ilipaswa iingie kwenye movie
 
Daudi Mchambuzi ukiwa hapo Machame nadhani unakikumbuka kile kikosi hatari cha Bush Stars chini ya team captain Mzee Meko na golikipa Madenge

Katikati unawakuta akina Sukununu, Kipepe, Kifimbo cheza, Betina, Baba Madenge, Sokomoko nk

Wale Born Town kama kawaida team captain Bob Mazishi, pale Kati utawakuta akina Ndumilakuwili, Pimbi, Lodi Lofa, Zena nk nk

Bwashee Daudi Mchambuzi ile gemu ni Sisi wazee tu ndio tunaweza kuiconnect na hizi siasa zetu

Jumaa kareem!
Boss na mzamini mkuu wa pambano Mzee mecco SANI lilitisa sana
 
Bwana umenikumbusha mbali sanaa unaambiwa bush star waliingia uwanjani na boonge moja la ugali mkavu bila mboga kitu kikapigwa live kati kati ya uwanja baada ya muda madenge goli kipa akapigwa bonge la goli acha aanze kulaumu wenzake
 
Mapung'o alikuwa anapigwa para kichwani halafu anaacha midevu kama

1) David Mapigano Kisu kipa wa KMC

2)NICOLA ANELKA
3) THIERRY HENRY
 
Daudi Mchambuzi ukiwa hapo Machame nadhani unakikumbuka kile kikosi hatari cha Bush Stars chini ya team captain Mzee Meko na golikipa Madenge

Katikati unawakuta akina Sukununu, Kipepe, Kifimbo cheza, Betina, Baba Madenge, Sokomoko nk

Wale Born Town kama kawaida team captain Bob Mazishi, pale Kati utawakuta akina Ndumilakuwili, Pimbi, Lodi Lofa, Zena nk nk

Bwashee Daudi Mchambuzi ile gemu ni Sisi wazee tu ndio tunaweza kuiconnect na hizi siasa zetu

Jumaa kareem!
Kumbukumbu nzuri sana hii. Hivi lile jarida la Sani bado lipo kweli? Tulikuwa tunapata burudani nzuri sana enzi hizo!
 
Back
Top Bottom