Kutokwa udenda

Kutokwa udenda

uku raia wabaya sana inakua hivi kwa mimi hua napata ilo tatzo nimekua nikijiuliza sana jibu nikwasababu uwezi kupumua kwa pua pekeake inabidi upumue pia na mdomo mfano ukilala ebu funga mdomo kama utaweza ?kwa iyo mdomo utakua wazi kiasi uli uweze kupumua vizuri
 
Jitahidi kulala umefumba mdomo, mazoea ya kulala umeachama ndo shida
 
Back
Top Bottom