mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Unadhani treni imepelekwa kaskazini kwa sababu ya kuwaonea huruma/kuwapenda watu wa kaskazini?Mmefufuliwa treni tu basi mnajiona nchi hii inawasikiliza sana, mnadhani mnaweza kusema lolote mmesahau vilio vyenu kuwa kaskazini imetengwa.... yameshaanza kulia mbwata.
Au sababu wanajua pesa iko kaskazini kipindi hiki?
Sent using Jamii Forums mobile app