Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,172
- 34,285
lakini kasema ana uwezo wa kumhudumia mwanamke wake sasa uwezo upi hajadadavua na mwana kulitaka ndio mwana kulipewa, mtu anakanywa akisharudi sio wakat anaenda yakimkuta ndio ataelewa umuhimu mwache ashikilie anachoaminiAisee,
Kwa maisha haya, kama huna kipato cha kukutosheleza ww, Mwanamke ni stress tu.
Nimepitia hayo, najua sanaa.
Sent using Jamii Forums mobile app