Nahitaji mke mwema

Andy Black

Member
Jan 10, 2019
16
13
Habari!
Nahitaji mke wa kuoa.
Sifa (Mimi)
1. Kiimani: Mcha Mungu.
2. Tabia: Mpole.
3. Dini: Mkristo.
4. Kazi : Sina kwa sasa ila nipo kwenye kutafuta.
5. Elimu : Shahada.
6. Mtazamo: Mtu chanya.
7. Kabila : Msukuma.
8. Umri: 29 miaka.
9. Rangi : Mweupe kiasi (kawaida)
Mke (nimtakaye).
1. Kiimani : Awe mcha Mungu.
2. Tabia : Awe mpole.
3. Dini: Awe mkristo.
4. Kazi : Sio kipaombele.
5. Elimu : Itapendeza akiwa na stashahada na kuendelea.
6. Mtazamo : Awe mtu chanya.
7. Kabila : Lolote lenye tamaduni nzuri.
8. Umri : 20 - 26.
9. Rangi : Yoyote iliyo asilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina hitaji mke wa kufanya maisha nae.
"Wale wanaoachana kwenye ndoa na wamekula kiapo kuwa wataishi kwenye shida na raha mpaka kifo kitakapo watenganisha lakini waliowengi wanaachana wakati wa shida na hakuna anayevumilia". Sasa hapo walikuwa wanamdanganya nani kati ya aliyewafungisha ndoa, wazazi au walezi au wao wenyewe kwa kuchagua aina ya shida!.
Huna kazi, mwanamke wa nini????

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usivunjike moyo, shikilia unachoamini, utapata chaguo lako unaweza ukawa unaongopa ili upate mtu sahihi au ukawa unasema kweli kua huna kaz vyote kwa vyote utapata chaguo lako, kabla ya kutafta huyo mwema hakikisha na wewe ni mwema, inshallah Allah akupe hitaji la moyo wako.
Nina hitaji mke wa kufanya maisha nae.
"Wale wanaoachana kwenye ndoa na wamekula kiapo kuwa wataishi kwenye shida na raha mpaka kifo kitakapo watenganisha lakini waliowengi wanaachana wakati wa shida na hakuna anayevumilia". Sasa hapo walikuwa wanamdanganya nani kati ya aliyewafungisha ndoa, wazazi au walezi au wao wenyewe kwa kuchagua aina ya shida!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina hitaji mke wa kufanya maisha nae.
"Wale wanaoachana kwenye ndoa na wamekula kiapo kuwa wataishi kwenye shida na raha mpaka kifo kitakapo watenganisha lakini waliowengi wanaachana wakati wa shida na hakuna anayevumilia". Sasa hapo walikuwa wanamdanganya nani kati ya aliyewafungisha ndoa, wazazi au walezi au wao wenyewe kwa kuchagua aina ya shida!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,
Tafuta kwanza kipato cha kukutosheleza ww....

Vinginevyo utakuja kutuletea mirejesho JF kila kukichaaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom