Recent content by AM_07

  1. A

    Wizi wa laptop katikati ya jiji

    kubeba laptop sio ushamaba, elewa ile imetebgenezwa kwa ajili ya kufacilitate mobility, pia wengine kazi zetu sio za kukaa kwenye meza tangu asubuhi hadi jioni so we have to move so i wish kama ungejua umechemsha kusema laptop ni ushamba, kwa ushauri ni vizuri kuwa na back up , mimi nina...
  2. A

    Watanzania hawana adabu kumsema Rais!

    mkubwa anastahili kupigiwa makofi akifanya jambo la maana, na akikosea anatakiwa apigwe makofi pia, so he is getting his right share, please give out your contact, labda unaweza kuokoa hii nchi, mimi kama mtanzania ninaelipa kodi nisiyojua maana yake amd getting nervous
  3. A

    Watanzania hawana adabu kumsema Rais!

    yanii nchi inaoza tuendelee tu kuimba zidumu fikra za mwenyekiti wa ccm, to hell, acha na iwe laaana maana mpaka sasa ni kama tuna laana kama wageni wananeemeka na hii nchi kwa kupitia mgongo wa watu wachache wakati asilimia kubwa ya walipa kodi hatujui kesho tutakula nini, wazee wetu kijijini...
  4. A

    Mfanyakazi wa Ubalozi wa Canada adaiwa kumtemea mate Polisi

    wazungu wanakuwa na stress za kipumbavu sana , si ajabu ukakuta alikuwa na mahasira yake ya nyumnani, can se sisi waafrika tumakuwa na uwezo wa kuvumialia stress sana , hawa wazungu vichwa vya dagaa, ingekuwa ni kwao ungekuta wameshaandamana kunako usiku wa manane, very wajinga
  5. A

    wamasai na family planning

    ilitokea arusha mama wa kimasai alienda semina ya family planning wakapewa vidonge, mama akarudi nyumbani akamweleza mume wake, ok akaanza kutumia, siku ya siku mzee nae akamwambia leo ni zamuyagu kumeza hivyo vidonge ambavyo na wewe unameza kila siku, sikujua ni kwa kutokuwa na elimu ya kutosha...
  6. A

    Hali Kama hii Imekaa Vibaya Jamani, Fikiria Ungekuwa Wewe...!

    ilitokea ngara, jamaa wakavuliwa nguo then wakalala chini, kwa jinsi walivyotishwa majambazi walipoondoka walibaki wamelala kwa nusu saa zaidi hamna anaedhubutu kuamka, ila kwangu ikitokea hali kama hiyo sitajali nikiwa uchi , bora maisha maana ukikataa kuvua likely hey will kill you
  7. A

    Ungejibuje?

    nina wasiwasi ni kichapo gani utakachompa mtoto anaehamua kusolve issue zake za shule kwa gun, next time akiiba itabidi asolve tatizo atakalokuwa nalo then asolve tatizo la kuepuka kuja kupigwa, guess what he will do!! hyo keshakuwa mtu mzima mimi nitaipokea kwa unyenyekevu then nitamkanya baada...
  8. A

    Happy independence day

    nikiona huu wimbo nakumbuka migomo ya SUA, ulikuwa unatia hasira sana ukianza kuibwa, kazi inabaki moja tuu kuchapa ambao wameingia madarasani, baba MSOLA umetutesa sana bora wakufiche huko wizarani.
  9. A

    Natafuta mchumba

    uchapakazi wa kimei???? elewa ndie alieidhinisha upitishaji wa hela za EPA CRDB amabazo kwa peocedure za hela kwa wanaofahamu ( am not specialist) wanadai ni kinyume na utaratibu,
  10. A

    The world without interest rate???

    JF, home of great thinker!!!!!!????
  11. A

    Mangula auchambua uongozi wa Kikwete

    ok, tusubiri tena makamba aite waanadishi wa habari, naona safari hii ataenda na mama lion akamsaidie kufurumusha tungo,
  12. A

    Elimu ya Makamba

    unamwulizia Dr makamba?
  13. A

    Ouch!!

    ,midle!
  14. A

    2010 FIFA World Cup Draw

    mbona siajona tanzania?
  15. A

    Bagamoyo Airport or Extension of JKN Intl. Airport?

    niliongea na mtaalamu wa masuala ya ndege akasema kwa sheria ( as he told me) uwanja wa ndege wa kimataifa unatakiwa uwe na "alternative landing ground, in case of any thing" akanipa mfano wa KIA na Arusha, na Jomo kinyata na Wiliams sasa sijui ndio maana wanajenga bagamoyo au vipi, ila kwangu...
Back
Top Bottom