Elimu ya Makamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya Makamba

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by GAMBLER, Dec 7, 2009.

 1. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi huyu katibu mkuu wa ccm amekuwa akiongea pumba sana katika matamshi yake.Mpaka juzi tu amewaita wehu baadhi ya washiriki ktk kongamano la Taasisi ya mwalimu Nyerere. Sasa nimekuwa ninashuku kuhusu kiwango cha elimu alichokuwa nacho huyu bwana? Yeyota mwenye data kuhusu elimu ya makamba amwage...
   
 2. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Alisomeshwa na wakoloni kule makerere.than oxford Uk .na alimalizia Harvad .;)
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha
  Basi upupu anaoutoa ni wa kisomi kweli kweli.Waliomsomesha wanaweza kufa kwa presha!!!
   
 4. m

  magoli Member

  #4
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 14, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .
  Mbona ata yule mbunge kutoka kyela naye anatukana hivyohivyo nayeye ni Dr?.
   
 5. A

  AM_07 Member

  #5
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  unamwulizia Dr makamba?
   
 6. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hawezi kusoma havard wakiti anapumba kiasi hicho, labda havard ya kigamboni na jeshini.
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Dec 7, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,597
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  You guys you need to know propaganda.Kazi ya MAKAMBA,SOFIA SIMBA,KINGUNGE ni kuleta confusion.Wamekubali kubeba lawama na kutukanwa na kila mtu.Utu wao na akili zimekubali hayo ili mradi wanapata pesa na kututosa watanzania.

  Kazi kubwa ni kuwahamisha kutoka kwenye ukweli na kuwawaza wao, mkenge huu tumeuvaa sana hapa jamvini.

  Mrema asingehama CCM naye angekuwa mmoja wapo maana kasomea kabisa propaganda.

  msifikiri sio wasomi, hawana akili they purposely do it

  Hiyo ndio CCM ....nchi zinazouza silaha kiholela wakati mwingine wali waza mbali sana
   
 8. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,071
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  Luteni Yusuph Makamba! naskia alikuwa kikosi cha mizinga sasa ile mingurumo na milipuko ya mizinga ilifyatuaga baadhi ya fyuzi kichwani ndo mana hung'aka na kufyatuka namna ile! Kile kideo jamani sasa kama CCM wanamuandama Zitto namna ile si afadhali nasi tuwe na cha kuongelea ndani ya CCM. Leo hii mzee mzima JK nae ameng'aka patamu hapo yetu macho!
   
 9. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Sidhani kwamba kila mtu akiongea kitu ambacho haki eleweki ni kwa sababu ya kukosa elimu.Kuna watu wenye elimu na wanaongea pumba na kuna watu wasio na elimu wanaongea hekima. Mtu anapo ongea upumbavu tusi husishe moja kwa moja na kukosa elimu. Kuna watu wengi sana wame tendea taifa letu makubwa bila hiyo elimu.
   
 10. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Makamba ni kamanda kuifia ccm na Jk si Tz, jela yuko tayari kwenda, msalabani yuko tayari kusulubiwa kwa ajili ya mafissadi wanaokiwezesha ccm kushinda kwa kishindo kila uchaguzi
   
 11. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwahiyo elimu yake ni kulipua mizinga?
   
 12. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,071
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  Kama ulikuwepo mzee mzima sasa analipua chama cha Majambazi!
   
 13. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2009
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aliyempa cheo kikubwa ambacho sio size yake ndio ana makosa
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Makamba..
  1.alikuwa mwalim wa UPE shule ya msingi Lushoto....
  2.AKatunga wimbo wa TANU ambao ulikuja kutumiwa sana kueneza propaganda za TANU>>>JKN alitaka kujua nani alieutunga wimbo ule....akatafutwa .........safari ikaanzia hapo...akapelekwa kivukoni.....then JEshini
  3.Waliingia Depo moja na JK jeshini........Monduli kama makada wa chama...(atamfia JK na si TZ)
  4.Ni mlezi na support mkubwa sana wa watoto wa Makamba.....kielemi na kila kitu...
  5.Alipokuwa jeshini akawa kada wa chama...........
  6.Akateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya......
  7.Mwinyi akaja kumpa ukuu wa Mkoa....MG baadae KG na Dar
  8.JK akaja kumpa ukatibu wa chama.......
  9.Ndipo hapoo alipo...hana shule zaidi ile ya UPE na seminari.....O level
   
 15. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mtu kuwa na matusi ni hulka/tabia, unaweza ukasoma na bado una mitusi.
   
 16. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Mkuu nisaidieni kwa hili hata mi linanitaliza mno kuhusu IQ (intelligence quotient yake ) au uwezo wa akili yake kuelewa mambo wa huyu mpiganaji, manake jamaa anatema pumba so za kawaida kwa senior member (KATIBU MKUU) tena katika chama kinachotawala dola.

  Hatutaki kujadili mtu hapa JF, lakini bwana huyu jamaa kazidi kutema pumba.

  Nani ana majibu yake kumi ya makamba atuwekeee hapa tuyafanyie tathimini? Pia mwenye C.V yake anaweza itoa itusaidie kwenye uchambuzi.

  KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZIII -----
   
 17. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Mkuu asante sana, KAZI IPO...
   
 18. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kwa nielewavyo mimi unaweza kusoma chuo ukafeli mwaka wa mwisho na kwahiyo utakuwa hujafuzu,je boss wa chama chetu alifuzu huko?
   
 19. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hahahahahaaaah

  You must be kiding.
   
 20. I

  IMBOMBONGAFU Senior Member

  #20
  Dec 8, 2009
  Joined: Jun 7, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kweli alitunga wimbo na ukakubaliwa Kitaifa,basi alitakiwa apewe PHD,maana atakuwa lazima alikaa chini na kutafakari,kazi aliyofanya ni zaidi hao wasomi wetu
   
Loading...