Naona kundi A ndio baya zaidi.. Ghana hapa ana nafasi nzuriKundi la kifo: Kundi D; Germany, Australia, Serbia Ghana
Kweli, bahati yao nzuri kwani walikuwa ni seed!Na England pia group lake sio gumu pia bahati anayo
Kweli, bahati yao nzuri kwani walikuwa ni seed!
Naona kundi A ndio baya zaidi.. Ghana hapa ana nafasi nzuri
kundi la kifo la brazil, Korea DPR, Ivorycoast na portugal.
Mtazamo mzuri, lakini sidhani kama Ujerumani wana nafasi nzuri sana msimu ujayo, licha ya nafasi yako katika soka duniani. Serbia wanaweza kuwa tishio katika kundi hili zaidi ya Ujerumani na Australia. Ghana kwa mwaka huu wapo wazuri zaidi, na nategemea hata mwakani watakuwa hivyo.Ni kweli kundi A: South Africa, Mexico, Uruguay, France ni gumu, lakini Ghana angekuwepo hapa angepeta vizuri zaidi kuliko kundi lake. Serbia na german ni wagumu sana, kibaya zaidi hata Australia ya sasa si mchezo.
Binafsi naona makundi ya kifo ni mawili,kundi E na kundi G..Mpangilio mzima wa makundi ni kama inavyoonekana hapa chini:-
Group A
1.RSA
2.Mexico
3.Uruguay
4.France
Utaiona vipi Tanzania wakati wananchi wake wavivu kila siku wanawapiga madongo wabeba mabox????Hizo nchi za Africa zilizoingia hapo wameanza kupiga mabox long time ndo wako fit.ie.wachezaji wao wengi wanacheza soka ughaibuni...lini Tz tutatoa mchezaji wetu hata acheze League 2 ya Uingereza....Ni ndoto kwani si leo wala kesho.Anyway kwa kifupi Tz hatuna exposure.mbona siajona tanzania?
hujaiona wapi ??labda ramani yako imekosewambona siajona tanzania?