Wizi wa laptop katikati ya jiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa laptop katikati ya jiji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GP, Dec 11, 2009.

 1. GP

  GP JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wakuu,
  siku hizi maeneo ya katikati ya jiji na hasa kule maeneo ya karibu na chuo cha ifm, mtaa wa samora etc. kumezuka WIZI wa laptops kwa kutumia magari hasa TAXI na saloons.
  hii ni kutokana na kwamba MABEGI YANAYOBEBA LAPTOPS YANAJULIKANA, HIVYO UNATEMBEA BARABARANI na LAPTOP yako begani unashangaa ghafla IMEKWAPULIWA na mtu toka ndani ya GARI na gari kutokomea.
  kuweni makini na mabegi yenye laptops.
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  SENKSI BWANA MKUBWA!
  sina komments because ,MEN ARE AT WORK:D
   
 3. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani imefika wakati mbaya pia!!! Sasa si heri na kutemewa mate utakwenda kujikoga uso kuliko kukwapuliwa Laptop ya Milion 2..Na yawezekana kabisa na police wapo pembe wanatazama tu mchezo !!!!
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Asante kwa Tahadhari mpwa binamu.
   
 5. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Gharama ya Laptop inaweza isiume sana kuliko documents zilizopo kwenye hiyo laptop maana huzipati tena!!
   
 6. bht

  bht JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Binamu hawa wakwapuzi wamekariri mabegi ya laptops, sasa hata wanafunzi wa ifm wakipita na bags zinafana na hizo na ndani maskini wameweka madesa, yanakwapuliwa vile vile!!!
   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  WIZI WA LAPTOP KATIKATI YA JIJI

  Kumekuwa na Wimbi kubwa la wizi wa Laptop maeneo ya Jiji la Dar es salaam kwa siku za karibuni haswa maeneo ya Posta Mtaa wa Samora Kwa kutumia Gari Ndogo za kubebea Abiria Taxi , Hii imekuwa Rahisi kwao kwa sababu begi nyingi za Laptop zinajulikana kwa maumbo na Lebo zilizoko kwenye Mabegi hayo .

  Mara nyingi inawakuta watu wanaobeba mabegi hayo mikononi , ghafla gari hiyo inaweza kuja kwa nyuma kukutishia kukugonga Ndio hapo Unaporwa Begi Hilo .

  Ingawa Tatizo hili limekwepo kwa kipindi kidogo kwa baadhi ya maeneo , hii tabia imerudi tena kwa kasi ya ajabu kwahiyo mnavyotembea huko mitaa kati kati ya Jiji haswa Samora muwe makini sana .

  Hata hivyo Laptop nyingi huwa zinauzwa maeneo ya SAMORA Pembani mwa Duka La Kuuza Vitabu , JAMHURI , MKWEPU , FIRE ,NKURUMAH NA KUNA BAADHI YA MADUKA YA VIFAA VYA KOMPUTA HUWA YANASHIRIKI BIASHARA HII KWA KUNUNUA BIDHAA HIZO

  NOTE : HAYO MAELEZO YA MAENEO SIO LAZIMA UKUTE VIFAA VYAKO NI KWA TAARIFA TU
   
 8. GP

  GP JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Duh, we mkuu ni chiboko!!.
  Yani umekopi "aidia" yangu, loh
   
 9. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Mods atafanya kazi yake ya kuziunganisha hizi post! Tatizo ni kupost kitu kabla hujasoma post zilizopo!
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  na nyie mmezidi ushamba mnatembea na laptop za nini?fanya kazi ofisini muda ukiisha nenda home acha kitendea kazi ofisini...acha wawapore bana
   
 11. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Biashara hii inashamiri kutokana na sababu nyingi .... moja wapo ni kuwepo kwa soko safi hasa kwa wanafunzi wa vyuo vyetu ambapo wanauhakika wa kuuza. Kuna jamaa alitaka ule laptop nyngi auze lakini akakatishwa tamaa na wadau wake walipomwambia kwamba mtu hawezi kununua laptop (yenye memory na speed ya kuridhisha) kwa laki 4 na nusu hivi KWA SABABU ZIPO LAPTOP NYINGI ZA WIZI KWA BEI CHINI YA HIO.....

  haya kumbe ufisadi ni kila eneo...
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  wamecopy na kupaste kutoka source moja!
   
 13. GP

  GP JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ndio maanake,
  nadhani mkuu Geoff kawastukia begi lake kama kabeba mtoto mgongOni!.
   
 14. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,392
  Likes Received: 672
  Trophy Points: 280
  Sasa kutembea na laptop ni ushamba gani ndugu,hujui kama kuna kazi nyingine huwa pending,hivyo inapaswa kufanywa nyumbani?Acha kuunadi ushamba wewe!!
   
 15. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mi nimeshama katika hivo vibegi 'vya laptop'. Nikibahatika kuja Bongo huwa natumia rucksack
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  back pack is safer kwa laptops afu hawashtukii kama umebeba hiyo...mpwa Goeff is very smart
   
 17. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #17
  Dec 11, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wewe ndo mshamba kabisa...eti kufanyia kazi nyumbani??kutwa manashinda kwenye JF mkiwa ofisini kazi hammalizi ikifika jioni mna beba mafaili na hivo mnavoita laptop eti ukafanyie kazi nyumbani kama unaweza kufanya kazi nyumbani si ungekaaa huku huku nyumbani kuliko kwenda ofisini ..we vipi
   
 18. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #18
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mhh! wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kuanika ujinga wako!! Yaani kubeba laptop ni ushamba? Why was the laptop designed to be small and portable in the first place? Si tungebaki na desktop tu? Muda sio mrefu utasema kubeba mobile phones pia ni ushamba!!!
   
 19. A

  AM_07 Member

  #19
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kubeba laptop sio ushamaba, elewa ile imetebgenezwa kwa ajili ya kufacilitate mobility, pia wengine kazi zetu sio za kukaa kwenye meza tangu asubuhi hadi jioni so we have to move so i wish kama ungejua umechemsha kusema laptop ni ushamba,

  kwa ushauri ni vizuri kuwa na back up , mimi nina external drive na huwa ninafanya backup kila mwisho wa mwezi au hata mara 2 kwa mwezi. na na kwa wale wanaoweka laptop siti za nyuma za gari ( sallon cars) nairobi wanajivunjia kioo cha nyuma gari likiwa kwenye jam wanaondoka nayo, bestway weka chini ya seat ( unapoweka miguu) ili isimtamanishe alieko nje
   
 20. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #20
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Duh JOB TRUE TRUE... Sikujua kubeba Laptop ni ushamba...
   
Loading...