wamasai na family planning

AM_07

Member
Nov 7, 2009
74
4
ilitokea arusha mama wa kimasai alienda semina ya family planning wakapewa vidonge, mama akarudi nyumbani akamweleza mume wake, ok akaanza kutumia, siku ya siku mzee nae akamwambia leo ni zamuyagu kumeza hivyo vidonge ambavyo na wewe unameza kila siku, sikujua ni kwa kutokuwa na elimu ya kutosha au kumwogopa mume akampa, guess waht happen, ilibidi wajiandae kulea. Challenge social workers mjaribu kufikiria target group kwa umakini mnapopanga training maana family planning ni jambo la mume na mke.
 
yani sipatipicha kwa mzee kumeza vidonge vya kuzuia uzazi avina madhara kwake kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom