Recent content by alimunyu semdekah

  1. A

    JamiiForums Tanzania Stone Town, Zanzibar alasiri hii...

    Mkisema maneno ya ovyo, atawashitaki kwao alaf mtafungiwa hamletewi tena MISAADA.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais sidhani kama kupenda Kwako kila mara ' Kumtajataja ' hadharani TISS DG Dkt. Kipilimba ni sawa Kiuweledi

    Kutambulika sio hoja mbaya, ni watumishi wetu wa umma. Ni sawa na Wapenzi wawili mke na mume tunawajua na tumeshuhudia mpaka ndoa yao, lakini wayafanyayo wakiwa faragha hatuyajui hivyo haijalishi huyu kumjua ilimuradi ayatendayo tunaona matokeo tu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana Biashara Morogoro

    Story nzima toka Ijumaa naifuatilia ila nakua na kigugumizi cha mtaji tu. Mimi nipo Moro ninakabiashara cha Mgahawa mjini kati jirani na stand ya Hiace, napenda sana Biashara ila msukumo ndio bado sijaupata wa kunionyesha njia ya kutoboa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hujuma zinazofanywa na vijana wanaosajili laini za simu zinachangia kuongeza matapeli mtandao. Jeshi la Polisi naomba hili mlifanyie kazi mapema

    Hawa wasajili namba utpeli wao ni kwa kua amekujua, anampa mwenzake namba alafu anacopy na kupaste muamala wa fedha, then anakutumia lakini ndani ya dakika sifuri anaejidai ajente anakupigia simu kwamba Fulani ametuma pesa kimakosa kwenye simu yako tafadhali naomba mrudishia sasa hivi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Dar Lux ruti ya Mwanza-Dar muache ubabaishaji

    Jaribu gari yetu NAJIMUNISA
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mtanzania unayeishi Miami FL tufahamiane

    Wabongo hawakawii kukinukisha then msala kuwaachia wenzako, wewe pambana ipo siku ktk diasphora utawaona tu likitokea tukio la kuhusu waTZ
  7. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kuchangiwa Bima ya Afya (NHIF) ili kuokoa maisha yangu

    NHIF nisaidieni.NIPO NYUMBANI UMRI ZAIDI MIAKA 18 SISOMI NAJISAIDIA MDOGO MDOGO, BABA ANATAKA KUNIKATIA BIMA NHIF ANAAMBIWA NI ZAIDI MILLIONI MOJA, NAKUMBUKA ZAMANI TULIAMBIWA NI WASTANI WA LAKI MOJA KWA MWAKA, NAOMBA UFAFANUZI, SITAKI CHF NATAKA NHIF.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nguo aina ya singlendi au kaosh (vest)

    zingatia ushauri wa kichwa kichafu plz!!
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazungu wawavalisha wanaume wa Kenya sketi huko jijini Nairobi

    Hamja ona tangazo la GSM na JOTI?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu acheni kufanya kazi kama gazeti au chombo cha propaganda

    Acheni tupate matukio yoote yanayofanywa na jembe letu! Mwenye wivu akajirushe katikati ya kundi la mamba
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ni ipi historia ya Wayahudi nchini Marekani ?

    ....."Kutumia meli za utumwa", hivi kuliwahi kuwa na magari ya utumwa kupeleka marekani from Afrika
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    jf tuache matani, mimi ninalo eneo fresh katikati ya mji wa morogoro, naendesha biashara ya mgahawa lakini haiendelei, wanga wengi, chuma ulete sijui inakuaje, nikiuza pesa sioni na uuzaji wenyewe kwa siku naweza kupka mchele kg 1 na unga kg1 yaani inaumaa!! eneo nalilipia, kuliachia naona...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kampuni binafsi zinazouza nyumba mpya Tanzania

    Hamidu city - Dar Kigamboni
  14. A

    JamiiForums Tanzania Daraja la Mto Wami kulikoni Serikali inalifumbia macho? Tunasubiri vifo ndio tukurupuke?

    Daraja la Wmi halibomolewi hilo ni URITHI WA KALEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! hahaha:p:p
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Daa! uzi nimeupenda sanaa. Mimi ni Muhanga wa zao la Muhogo, nimelima zaidi ya Ekari 5, Muhogo umekomaa Wateja siwaoni na pa kuuza sina. Mimi nipo wilaya ya Mkinga Mkoa wa Tanga jirani na Mpaka wa nchi ya Kenya kwa boda ya Horohoro. Kwa watu wachache ninao wauzia nabakiwa na mihogo mingi ambayo...
Back
Top Bottom