Nailaumu mamlaka inayoshughulikia utalii Zanzibar hasa kisiwa cha Unguja. Ni ukweli usiopingika kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislam na sidhani kama huyo dada angeelekezwa vizuri na madereva wa Taxi au wananchi wenye busara na lugha ya staha ambao wamejaaliwa kwa kufunzwa au kubarikiwa kuwa na uwezo wa kuhodhi hasira zao, wangemueleza huyo dada kuwa tunajitolea hata dera la bure ili ujisitiri.
Na bado.nilichogundua ni kwamba hujui ulitendalo#stress
SwadaktaHawa wanatumwa, Hata kwao mitaani hawatembei hivyo. Beach ndiyo.
HAWA. WANALIWA SANA NA BEACH BOYS AU RASTA BOYS ASEEEEEEEE
Utapigwa Mande/mtungo hutaamini boss.Joto kali, hata mie kesho ntavaa hivohivo kuelekea Mtwara.
Utapigwa Mande/mtungo hutaamini boss.
Hahah sawa mkuu.Wakati huo Dadii anawatizama tuu, watakuwa washa-vandemiwa saa mingi halafu sie tunaendelea kukata mitaa kwa raha na afya zetu.
Shikamoo dadaHawa wanatumwa, Hata kwao mitaani hawatembei hivyo. Beach ndiyo.