USIOMBE KUSAFIRI SAFARI ZA MASAFA MAREFU NA BINTI MDADA MREMBO UTAJUTA KWA KUKOSA KUONGEA NAEE
Nakumbuka mwezi wa nane mwaka huu nilienda mwanza nyumbani kutokea DAR kwa basi la DAD LUX pale shekirango tuliondoka saa 7 mchana kwenda mwanza , sasa ndani ya basi alikuwamo binti mmoja mzuri mithili ya miss Tanzanian a probably atakuwa UNIVERSITY STUDENT hapa,, sasa lets go huku👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👉🏾👉🏾👉🏾👉🏾👉🏾👉🏾 sasa ndani ya basi mie nilikaa siti za katikati upande wa kulia yeye akakaa upande wa kushoto mwa gari kama siti mbili kutoka kwangu , sasa ki ukweli nilitokea kutamani kuongea nae huyo mdada probably hata aniambie jina lake tuuuu sasa kulinhana na hile shobo ya macho ya watuuu MKAKA WA WATU SIMU YANGU IKAISHIWA CHAJI NIKAMWOMBA ANICHAJIE SASA DAH KI UKWELI SIKU ILEEEE NILITAMANI SANA HATA KUONGEA NAE JAPO NIJUE JINA LAKE TUU maana safari nzima nilikaa siti moja na mzee mmoja hivi ila yye alishukia shinyanga dah basi NIKAAMBULIA TUU YEYE KUNICHAJIA SIMU YANGU
Tulipofika mwanza pale ofisi za dar lux nyegezi lilikuwa saa 5 mchana , basi tukashuka sasa sijui binti alinielewa ,, au sijui ninii aseeeeeeeeeee mie harakatii zangu hata sikuwa na idea kuwa nmeshaelewek sijui nisemeje tuuuuuu dah DAH KWA KWELI NI SAFARI AMBAYO ILIENFA VIBAYA SANA KWANGU JAPO ALINISAIDIA KUCHAJI SIMU,,. .
HEY ww ka bintii ka rembo tulio safiri pamoja kutoka dar kwenda mwanza na basi la dar lux na wote tukashukia nyegezi dar lux offices PLEASEEEEE KAMA HUMO HUMU JAMII FORUMS *******NIKUMBUKE MIMI YULE MKAKA PROBABLY THE SAME AGE ,, ,, , NILIEKUOMBA UNISAIDIE KUCHAJI SIMU YANGU NDANI YA BASI , , JAPOOO NAOMBA TUFAHAMIANE TUU KAMA UPO HAPA DSM MAANA TOU LOOK A UNIVERSITY GIRL,,,,, PLEASEEEEEEE NJ IN BOX AU UNAWEZA NI. TAG HAPAA