Nilichogundua ni kwamba wafuasi na wapenzi wengi wa chadema hawawezi kuvumilia kukosolewa hata kama jambo hilo lina maslahi na chama chao.kwa mwendo huu safari yao itakuwa na vikwazo vingi.
Mimi ndo maana sipendi mpira wa bongo naona ni ujinga mtupu. Timu zote kubwa uingereza zimefungwa magoli mengi wala sijasikia kocha kufukuzwa wala nn.wanajipanga na kusonga mbele.Torres alikosa goli la wazi walipocheza na man na hakuambiwa chochote iweje okwi kukosa goli.simba waache mambo ya...
Nadhani hujaelewa maana ya bakwata kutoa tamko lile.kama yule DC angepigwa tu bila kuvuliwa hijabu na stara yake basi wasingetoa tamko.lililokera ni kumvua hijabu muislam na si kumpiga muislam.mbona hujajiuliza waislamu wangapi wanapigwa kila siku na hawatoi matamko! Kaa chini tafakari kabla...
Hayo ndo matatizo ya chadema kudaka watu tu njiani na kuwaingiza kwenye chama chao. Laiti wangemchunguza shibuda wasingempitisha kugombea ubunge.juzi marando alikuwa anajikanyaga tu alipoulizwa hatma ya shibuda.
Mwaka huu lazima tujue moja ama serikali tatu au muungano uvunjike wote tujiunge na shirikisho la afrika mashariki bt wasiwasi wangu znz ipo ila tanganyika haipo sijui watashika wapi. Aliyosema Tundu Lissu ni sawa na namuunga mkono.wa znz waulizwe kama wanataka muungano,waksema hapana na mchezo...
Nawashauri chadema wasitumie nguvu sana maana ni dhahir jimbo hawawezi kulipata.cuf wameota mizizi wao chadema wanaenda kuokoteza watu.wakiungana na cuf jimbo litakwenda upinzani la sivyo magamba watalichukua tena.hakuna option C. Tusubiri tuone
<br />
<br />
Chadema bado hakijawa chama imara cha kukabidhiwa madaraka ya nchi.haipo stable kuhimili changamoto zinazowakabili. Wajifunze cuf waliondoka mapalala, salum msabaha,naila jidawi,tambwe hiza,fatma magimbi na chama hakijaingia kwenye mgogoro wowote.leo kuondoka madiwani tu wanatetereka akiondoka...
Bei ya mafuta ya taa wamepitisha bungeni waliposema ndiyooooo.sasa iweje waibane serikali wakati wanajua waliokosea ni wao.at least wameanza kusoma alama za nyakati.
<br />
<br />
Chuki yako dhidi ya waislam haitakufikisha popote.jenga hoja,changia mada uwe great thinker.usiandike utumbo.nakuonea huruma kwani hujui uislam ni nini na unahusu nini.nakupa homework kausome uislam usiongozwe na jazba .
Mimi nashangazwa na viongozi wa tanganyika kung'ang'ania znz yetu.wabara wanaotaka muungano uvunje ni hawa wadogo ambao hawana kauli yoyote yenye athari kwa nchi.viongozi wanafaidika na muungano huu wa dhulma ndo maana wapo kimya.uvunjwe leo na wasingoje kesho halafu watupe miaka mitano tu waje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.